silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,985
Ni ushauri sema hujakubaliana nao. Nimetoa ushauri huu kwa lengo la kumwondoa jamaa katika lawama. Watamwelewaje majirani? Hivyo ni vema akampatia huduma hukohuko kijijini.huo siyo ushauri mkuu kwani kule kijijini hamana mabinti?cha msingi dogo apelekwe apewe ushauri nasaha msiangalie tuu kua anaambukiza maana uwezo huo hana kwa kua anatumia dawa sema kumshauri kua anapofanya ngono zembe pia anachukua maambukizi mapya kwa hiyo wale virus watakua wengi na watajenga usugu wa dawa muwe mnasoma kabla ya kutoa ushauri unapoathirika ukawa unatumia arvs huwezi muambukiza mtu maana wale wadudu wamelewa wamelala ila sasa ukifanya na ambaye hatumii dawa na ni muathirika apo unachukua maambukizi mapya na pia unapofanya sana kinga inashuka maana kwa umri wa huyo dogo utakuta anapiga bao zaidi ya tatu ...cha msingi apewe elimu ale vizuri aache mawazo ,afanye zoezi,apate mwathirika mwenzie anaetumia dawa afanye ngono kama kawaida bila madhara ataishi miaka mingi sana ....ukimwi siyo ugojwa...........
Nashukuru pia kwa kunipatia elimu kuwa mtumiaji wa dawa virus vinakuwa vimelewa sio active, sikuwa na uelewa kuhusu jambo hilo.