Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia ya sasa siyakuamini mtu tena wakizazi cha juzi wengi wanao hata watoto wanazaliwa nao sana aisee ni hatari sanaKuna katoto ni kademu kana 17, kana ngoma na kanagawa balaaa
Kwa wewe kumconvice na akaelewa unalowambia inaweza isiwe rahisikwa kua hauna taalamu hiyoWakuu Wasalaam
Leo nimekuja tupeane uzoefu na ushauri.Nina bwana mdogo naishi naye.Ana miaka 18 kwenda 19 ni wa kiume.Huyu alikuwa mtoto wa jirani yangu kijijini nilipokulia.Ule ujirani wa kijijini ni kama ndugu tu,sbb huyu bwana mdogo toka anazaliwa mpaka anakua namuona,kila nikienda likizo basi namuona.Maana kwao na kwetu ni uzio wa minyaa tu ndio uliotutenganisha.
Huyu dogo wazazi wake wote walifariki kwa UKIMWI.Bahati mbaya na huyu dogo alizaliwa na maambukizi.Amekuwa hivyo huku akipatiwa dawa kuanzia umri fulani mpaka leo.Kilichonifanya nimchukue na kukaa nae,kuna wakati nirirudi likizo nikakuta dogo amedhoofu sana,sbb ilikuwa ameanza kugoma kutumia vidonge,hii ni baada ya kukua na kupata akili kuwa anatumia vidonge vile sbb ameathirika.
Ilihitaji ushawishi sana kumfanya dogo aendelee kutumia hizi dawa.Maana alikuwa mkubwa na akiwa shule akawa amepata akili kuwa vile vidonge anavyopewa kunywa ni kwa sbb ameathirika.Hakupenda kunywa akisema bora atangulie tu.
Sasa kwa sbb mimi kidogo ananiheshimu jumlisha kuniogopa,wakati wote wa likizo nikamsimamia aendelee kutumia dawa,hatimaye maamuzi ya kuja kuishi naye nilipo.Ameendelea kuwa na afya njema na tulimtafutia VETA baada ya kidato cha nne kutokufanya vizuri,na hii ni kwa sbb ni kama amekata tamaa.Kabla ya hapo darasani alikuwa anafanya vizuri sana kule sekondari.
Sasa bwana mdogo nilianza kustukia kuwa kaanza mahusiano ya kimapenzi.Na hii ni baada ya siku moja kumsikia akiongea kwenye simu asijue kama mimi na wife tupo ndani.Nikajipa zoezi la kutaka kuujua ukweli kupitia simu yake.Nikakuta kweli msg kadhaa toka na kwenda kwa mpenzi wake.
Kifupi dogo kaanza kugegeda,na alivyo HB na afya kuimalika huwezi kujua kuwa ameathirika.Sasa naona hata hapa mtaani kama vibinti vinamshobokea na havijui background yake.Hii inanipa wasiwasi juu ya afya yake na hao anaowagegeda.
Nilijipa siku nikakaa nae,nikampa somo kuwa hayo mambo anatakiwa kuyapa kisogo,atazame kwanza afya yake,lkn pia akumbuke bila kinga atwaangamiza vijana wenzake.Yaani ilikuwa kama nimeharibu.
Dogo akawa anaona kama namnyanyapaa!Anasema yeye pia ana haki ya kuwa na mtu maana umri wa kuwa na mpenzi eti umefika.Mimi kumwambia hivyo eti ni kama namnyanyapaa.Basi akaongea na mambo mengi yaliyonitia uchungu,sbb sikuwa na nia mbaya,bali kumsaidia yeye na hao watakaogegedwa nae.
Mimi bado nataka huyu dogo aachane na mwenendo wa kugegeda,japo nilionana na mshauri mmoja akasema sehemu nyingi huwa wanawatafutia vijana/wenza walioathirika ili wawe pamoja na kujijua kuliko kupeleka kwa wengine.Ila mimi naona umri wa huyu bado kwanza,atulie na kujenga afya.
Toka nimwambie alizila kula siku nzima,siwezi kumkaripia sana sbb ya hali yake.Sipendi aendelee sbb anaweza kuathiri afya yake na wale anaoshirikiana nao.
JF hakiharibiki kitu,kwa mazingira kama hayo,nyie wananzengo wenzangu mngefanyaje?Nifanyaje ili nimsaidie huyu dogo na huyo aliyeanzisha nae mahusiano?Tupeane mawazo.
mwenyewe kunadada mmoja huku mtaa najuwa ana gwegwe anagwa tu kama kifulushi cha tigo hapo mzee mwache awape dozi kwa ha vitabu vya mungu vinasema mshahara wa zambi nimauti kwa acha awagawie mauti
Nawe usiandike "kwann" andika 'kwanini"Umeckia mkuu...
Usipende kusema *sbb... Sema sababu...
Usipende kusema *lkn... Sema lakini...
Kwann unaharibu Lugha yetu maridadi...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Hajamgusa wako kweli?mm mwenye nipo na dada fulan anaambukiza tu ila nilipewa story kazaliwa nao nashindwa kumuambia asiambukize wanaume wengne
mwenyewe kunadada mmoja huku mtaa najuwa ana gwegwe anagwa tu kama kifulushi cha tigo hapo mzee mwache awape dozi kwa ha vitabu vya mungu vinasema mshahara wa zambi nimauti kwa acha awagawie mauti
Mtaa gani huomwenyewe kunadada mmoja huku mtaa najuwa ana gwegwe anagwa tu kama kifulushi cha tigo hapo mzee mwache awape dozi kwa ha vitabu vya mungu vinasema mshahara wa zambi nimauti kwa acha awagawie mauti
Nitafuata ushauri wako RossoneriKwa wewe kumconvice na akaelewa unalowambia inaweza isiwe rahisikwa kua hauna taalamu hiyo
Hilo jambo linahitaji wataalamu wa ushauri wa maswala ya afya maana wajua saikolojia pia.
Ni vema ungemwazishia utaratibu wa kuonana na watu hao wa ushauri ili waweze kumuelewesha kulingana na taalamu ya kwenye hilo.
Nafahamu hawezi kufika huku,lakini naelezea kwa undani kwa sababu sio wote wanaojua kisa hikiKwanini huwa mnaeleza mengi kiundani? Nauliza tu kama umeeleza kila kitu ukweli bila kupindisha, akisoma humu unaona itakuwaje kati yako na yeye?
Vizuri kumsaidia ila anatakiwa apate kuona wataalamu wa kumtoa katika hiyo ya kujigundua alizaliwa nayo, hayo ya mazingira kusoma etc hayatamsaidia bali naona ni kama hajali kabisa na pia alishajiachia lolote na liwe.
Mpeleke akasaidiwe kuondokana na yaliyomkuta.
anaishi mbeya mbaliziAnaishi wapi huyo dada
nasikiaga huyo dada kila mwanaume akiwa naye ananiambiaa ila mm naogopa kumuambia ww sio mgonjwaSiwanadai ukiwa muathirika hamu ya Ku do inaongeza kwa ajili ya Yale madawa.!!
hapanaa hajamgusa kabsaa nayeye anamjuaaHajamgusa wako kweli?
unamaringo sana wewe kaka mwanaume mzima hovyoooUmesikia mkuu...
Usipende kusema *sbb... Sema sababu...
Usipende kusema *lkn... Sema lakini...
Kwanini unaharibu Lugha yetu maridadi...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
mtu anayetumia arvs ni ngumu sana kumwambukiza mwenzie virus maana wale virus hawana nguvu kabisa wamelewa wamelalaAngalia asije kukugegedea wanao bure aisee, kwa mtindo huo ataambukiza wengi na hivi ni kijana mdogo mhhhh balaa