Nina kijana mdogo ameathirika naishi nae, anagegeda sana vibinti vya watu, nimsaidiaje?

We mrudishe kijijini. Utamhurumia mmoja lakini yeye ataua wengi. Usiwe na huruma juu yake tu angalia na anaotaka kuwaangamiza.
huo siyo ushauri mkuu kwani kule kijijini hamana mabinti?cha msingi dogo apelekwe apewe ushauri nasaha msiangalie tuu kua anaambukiza maana uwezo huo hana kwa kua anatumia dawa sema kumshauri kua anapofanya ngono zembe pia anachukua maambukizi mapya kwa hiyo wale virus watakua wengi na watajenga usugu wa dawa muwe mnasoma kabla ya kutoa ushauri unapoathirika ukawa unatumia arvs huwezi muambukiza mtu maana wale wadudu wamelewa wamelala ila sasa ukifanya na ambaye hatumii dawa na ni muathirika apo unachukua maambukizi mapya na pia unapofanya sana kinga inashuka maana kwa umri wa huyo dogo utakuta anapiga bao zaidi ya tatu ...cha msingi apewe elimu ale vizuri aache mawazo ,afanye zoezi,apate mwathirika mwenzie anaetumia dawa afanye ngono kama kawaida bila madhara ataishi miaka mingi sana ....ukimwi siyo ugojwa...........
 
U
Mkuu nina watoto,wangu nilishawaelekeza na wanajua kinachoendelea juu ya huyu kijana wangu mpendwa!!Pale nyumbani sidhani,maana wa kike nilienae bado ni mdogo
Usijidanganye lazima ukae nae chini na uongee nae vizuri akuelewe. Kama yeye hajakuelewa lakini ukaishia kuwaelewesha wanao basi ni kazi bure. Pia haya mambo ya uelewa wa HIV yanaendana na umri.
 
Anaejua undani wa hii habari ni mtoa uzi ....sisi wote ni wasomaji tuu na ku-comment.utajuaje km kuna sehemu kapindisha kidogo ili kupunguza undani wa hili jambo!
 

Sawa unajaribu kujitetea naona, Ila mimi bado nasimamia niliyoandika. Hujawahi kuona mitandao mingine pia ilivyo na habari za c&p kutoka JF zinavyosambaa?

Kiukweli umeieleza kama wewe kujifikiria kutoka na picha nzuri ukisomwa, ila unasahau huyo kijana anatakiwa apewe msaada wa kisaikolojia pia na mengineyo haraka sana.

Muhimu ni maisha aliyonayo ambayo hajakubaliana nayo ndio, na kuanza kumsaidia hata hasiposoma kwa nwaka ila awe salama.
 
Mwenywe na ndugu yng ana ngoma ana sambaza balaa natamanigi niwastue wadada anaotembea nao ila nashindwa maana wengi anaotoka nao ni wanafunzi wa sekondari n vyuo
siyo kila unaetembea na mwathirika utaupata kupata hiv ni mpaka usugue kweli kweli patokee mchubuko wote wawili unaweza kusex na mwathirika kama umemwandaa vizuri ukamlainisha na kutokukamia mechi ukatoka salama mkuu..
 
mwenyewe kunadada mmoja huku mtaa najuwa ana gwegwe anagwa tu kama kifulushi cha tigo hapo mzee mwache awape dozi kwa ha vitabu vya mungu vinasema mshahara wa zambi nimauti kwa acha awagawie mauti
Atapita jamaa atamgegeda ataenda kumgegeda na dem wako biashara kwisha, ndo tunavokufa hvo et kunaungua kwa jiran m hakuwez ungua umesahau kuna fenc ya mabua inawatenganisha, damn
 
Sio kweli hata ukitumia ARV bado unaambukiza wengine. Ingekuwa huambukizi basi pia watumiaji wasingekufa eventually. ARV inapunguza tu kasi ya virusi kukushambulia wewe ulieathirika
 
Basi mkuu!!Kama nimekosea kuwasilisha ujumbe wangu nisamehewe!!Haikuwa nia mbaya kuuliza ili nipate ushauri
 
Msisitize kuhusu matumizi ya condom

Pili hakikisha anatumia dawa zake vizuri, viral load ikiwa ndogo maambukizi hupungua

Tatu mtafutie mshauri nasaha wa kidini na wa afya wambadilishe tabia
 
Anaejua undani wa hii habari ni mtoa uzi ....sisi wote ni wasomaji tuu na ku-comment.utajuaje km kuna sehemu kapindisha kidogo ili kupunguza undani wa hili jambo!

Sababu nimejua kwa nilichosoma tunatofautiana katika mengi binadamu sisi, pia msome jibu lake hapo juu amesemaje mwenyewe.
 
Sio kweli hata ukitumia ARV bado unaambukiza wengine. Ingekuwa huambukizi basi pia watumiaji wasingekufa eventually. ARV inapunguza tu kasi ya virusi kukushambulia wewe ulieathirika
mkuu acha ubishi basi
 
Kama ana shughuli ya kufanya inayomuingizia pesa,mshawishi ampate mmoja aoe .Itamsaidia kutulia na kuwajibika maana sasa atahamishia nguvu zote kwa mkewe na kutengeneza familia,kama hana shughuli mshauri kwanza apate shughuli ya kumuingizia kipato halafu aoe.
 
Na wewe kalishakupa?

Duh mkuu nitake radhi, mm nakaribia kustafu ajira hapa. Siwezi fanya huo ushenzi, ni mdogo wa mke wa jirani alizaliwa nao sasa ameshavunja ungo na anagawa kwa hawa vijana wa form2,3 na kanajijua hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…