Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nipo kati kwa kati mimi sio masikini wala sio tajiriwewe ni maskini
Watu wengi wananishauri nimuache tu japokuwa mimi kuna muda mpaka naongea peke yangu kwa sababu ya kinyongo nilichonachoKamfanyie kitu kibaya usisahau mkuu
Kwamba watapigwa kipigo Cha umbwa kokoAvatar yako imekaa kichuki chuki 😂
Hapo ni shida kichwani!Watu wengi wananishauri nimuache tu japokuwa mimi kuna muda mpaka naongea peke yangu kwa sababu ya kinyongo nilichonacho
Kuhusu hiyo ishu ya wakala, ulimuonesha meseji iliyorudi kwenye simu yako? Kwa sababu ni ukweli uliowazi, wakala hawezi kukupa tu hela iwapo, hajapata ujumbe mfupi.Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.
Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.
Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.