Nina kinyongo na chuki kali sana. Je, hili ni tatizo?

Baba, mbwa wewe tafuta tunguli ili uwe Mchawi, kenge wewe utakuja kuwamaliza mpaka vitukuu vyako maana wenyewe watakutania ila wewe utajua wanakudharau.

Shenzi wewe kuwa Mwanga kabisa ili uendane na roho yako
Sawa nimekuelewa
 
Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.

Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.

Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Majina yako tafadhali mtaa ulipo na jina la wakala ili akidhurika tujue tunaanzia wapi
 
Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.

Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.

Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Una mgogoro wa nafsi na pia una majukumu yanayokuzidi umri .

Je uliowaahidi hapa jamvini kipindi kile kuwapa msaada uliwasaidia ?

Au ndiyo uliingia mitini? Ili tuseme Karma is real?
 
Wewe ni mzembe Wahed.

Ulishindwa nini kupiga simu Huduma kwa Wateja na kushinikiza mpaka upate haki yako?

Upumbavu wa namna hii ukiuvumilia na ukaacha upite basi na wewe ni sehemu ya huo upumbavu.. Binafsi nisingeondoka bila Pesa yangu.
 
Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.

Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.

Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Kama umeshajijua basi utapona.
 
Dah!Wakala alikukosea sana.Hela ya kununulia mboga akagoma kukupa?Au ingekuwa ya kwenda kupigia balimi,sijui ingekuwaje?Anyway,yana Mungu.
NB:Ambavyo huna dogo utaniwekea kinyongo kwenye hii komenti yangu.
 
Watu kama Hawa unakuta wanasifa hizi ...

-ni wapumbavu hata wakieleweshwa huwa hawaelewi ,kiufupi ni wajinga na huwa wanaamin kitu wanachojua wao tu ,na huwa na maamuzi magumu ....

- ni masikini wa mali na hekima ,wanaona kisasi Tena in negative way ndio njia ya kujibu pindi wanapokosewa ...

Roho ya umasikin inakuaandama na inakutafuna mkuu ,...

Tafuta Sana pesa ......
 
Uko sawa na ndugu yangu mmoja Ana roho mbaya sana Kama yako nilipojenga nyumba tu sasa hatuongei wala salamu
 
Una mgogoro wa nafsi na pia una majukumu yanayokuzidi umri .

Je uliowaahidi hapa jamvini kipindi kile kuwapa msaada uliwasaidia ?

Au ndiyo uliingia mitini? Ili tuseme Karma is real?
wapo baadhi yao niliwapa msaada ambao ulikuwa ndani ya uwezo wangu
 
Watu kama Hawa unakuta wanasifa hizi ...

-ni wapumbavu hata wakieleweshwa huwa hawaelewi ,kiufupi ni wajinga na huwa wanaamin kitu wanachojua wao tu ,na huwa na maamuzi magumu ....

- ni masikini wa mali na hekima ,wanaona kisasi Tena in negative way ndio njia ya kujibu pindi wanapokosewa ...

Roho ya umasikin inakuaandama na inakutafuna mkuu ,...

Tafuta Sana pesa ......
mimi sio masikini
 
Ushauri

Fanya mazoezi pia pendelea kuongea au kutembelea sehemu za watoto mayatima.
 
Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.

Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.

Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Kuna mahali pagumu hujapita: ukishaenda jela na kubakwa kule hiyo hali itakutoka kabisa mkuu.. utakuwa mtu mpole sana trust me..
 
Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.

Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.

Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Wewe ni mimi kabisa huwa nina hasira balaa naweza kukaa na kisasi hata miaka 10 ikapita nikaja kukushughulikia wakati ushasahau
 
Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.
Nsio maisha ukiyojichagulia wala sio ugonjwa.
Samehe 7×70= kwako NO

Mhubiri 7:9 NEN​

Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako, kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu

Warumi12.19-21

19 Wapendwa, msijilipizie kisasi, bali mtoe nafasi kwa ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa:“Kisasi ni juu yangu; Mimi nitalipa, asema Bwana. 20 Badala yake, adui yakoakiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mpe kitu anywe. Maana ukifanya hivyo, utampalia mkaa wa moto kichwani pake. 21 Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
 
Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.

Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.

Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Jiandae kufa mapema
 
Back
Top Bottom