MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Sawa nimekuelewaBaba, mbwa wewe tafuta tunguli ili uwe Mchawi, kenge wewe utakuja kuwamaliza mpaka vitukuu vyako maana wenyewe watakutania ila wewe utajua wanakudharau.
Shenzi wewe kuwa Mwanga kabisa ili uendane na roho yako
Majina yako tafadhali mtaa ulipo na jina la wakala ili akidhurika tujue tunaanzia wapiMimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.
Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.
Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Nikiamua hakuna wa kunizuiaMajina yako tafadhali mtaa ulipo na jina la wakala ili akidhurika tujue tunaanzia wapi
Una mgogoro wa nafsi na pia una majukumu yanayokuzidi umri .Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.
Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.
Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Kama umeshajijua basi utapona.Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.
Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.
Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Dah!Wakala alikukosea sana.Hela ya kununulia mboga akagoma kukupa?Au ingekuwa ya kwenda kupigia balimi,sijui ingekuwaje?Anyway,yana Mungu.Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.
Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.
Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
wapo baadhi yao niliwapa msaada ambao ulikuwa ndani ya uwezo wanguUna mgogoro wa nafsi na pia una majukumu yanayokuzidi umri .
Je uliowaahidi hapa jamvini kipindi kile kuwapa msaada uliwasaidia ?
Au ndiyo uliingia mitini? Ili tuseme Karma is real?
mimi sio masikiniWatu kama Hawa unakuta wanasifa hizi ...
-ni wapumbavu hata wakieleweshwa huwa hawaelewi ,kiufupi ni wajinga na huwa wanaamin kitu wanachojua wao tu ,na huwa na maamuzi magumu ....
- ni masikini wa mali na hekima ,wanaona kisasi Tena in negative way ndio njia ya kujibu pindi wanapokosewa ...
Roho ya umasikin inakuaandama na inakutafuna mkuu ,...
Tafuta Sana pesa ......
umekoment upuuzi sanaDah!Wakala alikukosea sana.Hela ya kununulia mboga akagoma kukupa?Au ingekuwa ya kwenda kupigia balimi,sijui ingekuwaje?Anyway,yana Mungu.
NB:Ambavyo huna dogo utaniwekea kinyongo kwenye hii komenti yangu.
Tatizo lako una kinyongo sana.Huwa huli mboga?Yawezekana balimi hauzitaki.Juisi?Acha vinyongo!umekoment upuuzi sana
Kuna mahali pagumu hujapita: ukishaenda jela na kubakwa kule hiyo hali itakutoka kabisa mkuu.. utakuwa mtu mpole sana trust me..Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.
Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.
Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Wewe ni mimi kabisa huwa nina hasira balaa naweza kukaa na kisasi hata miaka 10 ikapita nikaja kukushughulikia wakati ushasahauMimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.
Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.
Kwa mfano juzi nilienda kutoa pesa kwa wakala kiasi kidogo tu baada ya kutoa ile pesa yule wakala aligoma kabisa kunipa pesa yangu kwa kigezo kwamba hajaiona meseji. Aisee mpaka sasa roho yangu inanihimiza nimfanyie kitu kibaya yule wakala japokuwa watu wananishauri niachane nae tu.
Nsio maisha ukiyojichagulia wala sio ugonjwa.Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au nisikie adui yangu katoweka duniani ndipo roho yangu hutulia.
Jiandae kufa mapemaMimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.