Nina kinyongo na chuki kali sana. Je, hili ni tatizo?

Angalia sana hali yako hiyo isijekutupa jela maisha.
 
Bro jifunze kusamehe upunguze mizigo ya kutembea nayo!
Kusamehe kuna raha sana na kwa uzoefu wangu pia kunaleta baraka na amani ya moyo.
 
Mtu wa hivi Umgongee mke wake alafu awafumanie...

Nyie ndio Mkifa mnaanza kusumbua watu na Mizimu yenu.. Watu hawabaki na Amani.
 
Kisasi ndio mpango mzima wewe. Mtoto mdogo ukimkanya anaacha mara moja upumbavu wake. Jitu zima linakanywa kila siku na bado halielewi, sasa mtu kama huyu ukimlipua ni sawasawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…