kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Ahsante sana ndugu! Barikiwa, sikujua hili.Wataalam wanaita body. Ukisema scraper maana yake ni chuma chakavu, ambacho ni hatari kwa usalama wako na wa wengine.
Imebidi nicheke Kwanza 😅😅Habari za majukumu, nina fedha isiyo taslimu shilingi laki tisa(900000 TZS), ambayo itakamilika kufikia mwezi wa 10 mwaka huu. Nimewiwa kununua usafiri wangu ila nimeamua kutumia njia tofauti kidogo.
Yaani kama ni hesabu za kugawanya, basi tungesema nimetumia njia fupi. Kwa jiji hili la DSM usafiri ni changamoto kubwa mno, hasa local transportation of passengers(usafiri wa hapa hapa Dar).
Naomba kama kuna mtu atakuwa na skrepa au anamfahamu mtu au taasisi yenye skrepa hizo, basi tuwasiliane na atoe details hapa. Ili kila mmoja aone na afahamu hivi vitu.
Karibuni sana!
Kumbe wanakuaga wanono hivyo mbona ni walafi sana hawa jamaa?Laki Tisa hii take home ya House girl haupo serious
Hata huko hapati hio ni mei ya bampa la nyuma bila reflectors tena liliotumika saana bongoBoss, kwanini iyo mia 9 usingenunua Bodaboda tu ukaitumia kwa usafiri kama lengo ni kukwepa “kero” ya public transport.
Sijakukejeri pesa yako kubwa lakini nawaza kupata hiyo Prado, gharama za kuirepair, na uendeshaji wake, itakua bei juu.
Turudi kwenye topic: Jaribu tembelea sehemu zenye wanachinja magari au magereji kuna magari yaliopata ajali.