Nina laki 9, nahitaji skrepa ya Prado niikarabati

Nina laki 9, nahitaji skrepa ya Prado niikarabati

Wejamaa unaota amaupomacho, laki 9 alafu unataka prado ya mwaka 2020.
Hiyo prado ya mwaka huo hata ukikuta imegongwa yote ikabaki buti na taa zanyuma pekeake huwezi kununua hata hizo taa tu.
Nivigumu sana kupata screpa ya prado ya mwakahuo.

Otherwise ukiwa tayari njoo hapa tabata dampo utapata prado kama prado habari ya kuchagua mwaka sahau.
 
Habari za majukumu, nina fedha isiyo taslimu shilingi laki tisa(900000 TZS), ambayo itakamilika kufikia mwezi wa 10 mwaka huu. Nimewiwa kununua usafiri wangu ila nimeamua kutumia njia tofauti kidogo.

Yaani kama ni hesabu za kugawanya, basi tungesema nimetumia njia fupi. Kwa jiji hili la DSM usafiri ni changamoto kubwa mno, hasa local transportation of passengers(usafiri wa hapa hapa Dar).

Naomba kama kuna mtu atakuwa na skrepa au anamfahamu mtu au taasisi yenye skrepa hizo, basi tuwasiliane na atoe details hapa. Ili kila mmoja aone na afahamu hivi vitu.

NB: nahitaji new model, au hata ya mwaka 2020 kulingana na series za matoleo yake.

Karibuni sana!
All the best. Ila kama unajichanga hivyo hata ukifanikiwa ukichanganya ubovu wa gari + ulaji wa kawaida wa mafuta utajikuta huwezi kulimudu.
 
Naomba mrejesho, na Mimi nianze mchakato nimiliki usafir wangu
 
Chukua chuma hiki
 

Attachments

  • 1797020_IMG_20180715_131927 (1).jpg
    1797020_IMG_20180715_131927 (1).jpg
    112.9 KB · Views: 11
Kalime bustani onfeza kipato.....ukifikisja 20m waite watakulengesha Prado yaliyogongwa ukahangaike nayo
 
Ongeza laki4 nikupe chuma
 

Attachments

  • 20240227_154526.jpg
    20240227_154526.jpg
    888.2 KB · Views: 8
  • 20240227_154535.jpg
    20240227_154535.jpg
    1 MB · Views: 7
Back
Top Bottom