Nina laki 9, nahitaji skrepa ya Prado niikarabati

Watakuja wahusika tulia...
 
usione magari tu yanatembea road watoto wadogo, mabinti wanasukuma prado tx 2020 ukadhani ilikua sacrifice ndogo., wengine mpaka kupata gari wamejibana mpaka wamepata vidonda vya tumbo.. ila pia wengine wametoa mpaka tigo au kula kinyesi cha waarabu ndo unaona wanavimba na v8

kwaio nachosema sio mbaya kuweka nia, ila kuweka nia kwenye vitu visikuwa realistic( laki 9) kitakuumiza zaidi. otherwise ongeza juhudi one day yes.
 
Sijawahi kuona binti hapa DSM anasukuma prado isipokuwa wanawake wazee, tena nao wa kuhesabu.
 
Mkuu, barikiwa Sana. Hii njia Yaweza saidia wengi tununue magari
 
Mkuu soma comments zote yenye msaada chukua yenye kubeza ipuuzie ukianza kuongea utaleta ubishi usio na mantiki.
 
Tena laki tisa yenyewe hana, yaani ndio kwanza anadunduliza, hakuna uhakika kama atapata au laa. [emoji23][emoji23]
 
Hiyo laki 9 unakula PRADO nzuri tu na chenji inabaki
 

Attachments

  • don_thickiswa__20200705_123309_0.jpg
    83.6 KB · Views: 38
punguza bang sio mda utakuwa kichaa
 
Mkuu acha matusi wewe mwenyewe umebainisha kuwa kama kuna MTU ana scarpa ya Prado au anayeweza kukuelekeza.So,majibu ya wadau yame base katika maombi yako hayo mawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…