Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

Mim nipo Banana ,hapa Dar
Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid .
Mwenye wazo naomba
Nenda Kariakoo tafuta machimbo ya
1. Screen protector za smartphone huko unanunua buku buku au jero jero tenbeza mtaani hasa kwenye mabaa unauza kuanzia 3000-5000 kutegemea na location.
2.Machimbo ya boxer na vest,huko Kariakoo unanunua boxer moja 1,800 huku mtaani hasa kwenye mabaa unauza boxer moja 5000 mpaka 7000 kutegemea na location na mteja.
Etc etc
 
then my brother, una advantage ya holy spirit/roho mtakatifu muulize yeye n vzur kuomba ideas za watu ila as a christian uyo ndo muongozo wako mkuu ata tukikupa best ideas that spirit in you knows best. (with any doubt nakaribisha swali)
Sijui kama uliloliandia umesoma aua ndo wale mnaponza wachungaj wanaonekana hawajitambui.Sasa nipo na mtaji na Mungu kanipa afya njema na uwezo wa kuchakarika kujua fursa .Wewe bado unataka niendelee kuomba sasa niombe nin ??
Iman bila matendo si kitu
 
Ya kutembeza kwenye bar hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…