Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

au ukitafuta boda ya hesabu kwa wiki ili udunduluze mtaji ukuekue?

au uuze mitumba vyuoni?

au uuze matunda

au uuze mayai ya kuchemsha?

au ufanye content badae uje ufanye biashara za online kama matangazo, mafunzo mbalimbali ama bidhaaa
 
Mim nipo Banana ,hapa Dar

Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid .

Mwenye wazo naomba
Tengeneza app za uchumba utaopoa sana pesa wanatongozana wewe unalipwa jingine weka danguro au uza chipsi
 
Sijui kama uliloliandia umesoma aua ndo wale mnaponza wachungaj wanaonekana hawajitambui.Sasa nipo na mtaji na Mungu kanipa afya njema na uwezo wa kuchakarika kujua fursa .Wewe bado unataka niendelee kuomba sasa niombe nin ??
Iman bila matendo si kitu
Mwanangu unaomba mawazo lakini umechafukwa kinoma😅
 
Ukosefu wa akili.... una hela hujui uifanyie nini ? Nenda bar yenye mademu wenye makebo wakupopoe
 
Mim nipo Banana ,hapa Dar

Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid .

Mwenye wazo naomba
Tafuta maeneo ya uswahilini anzisha biashara ya bangi.
 
Mwanangu unaomba mawazo lakini umechafukwa kinoma😅
🥺😂 Ujue watu ni wehu sana , wanageuza Mungu ndo mfanyakaz wao yaani wanataka like neno la kwambwa watakula kwa jasho wanataka kukwepa kimtindo dadek.
 
Toa shilingi elfu 50 Jenga kibanda Cha genge la mboga mboga na matunda,toa elfu 50 kanunune mboga mboga na matunda sokoni uanze biashara mtaani,elfu 20 nauli ya kusafirisha mzigo.
Unauza hoho,biringanya,nyanya chungu,vitunguu maji,vitunguu swaumu,tangawizi,nyanya,pilipili,malimao,ndimu,kabeji,viazi mviringo,viazi vitamu,matango,maparachichi,karoti,matunda ya msimu.

UNAANZA NA MZIGO WA elfu 50 utakuwa unaongeza kadiri ya MAHITAJI vitu vinavyouliziwa na MAHITAJI.

Pesa nyingine unaiweka unaitunza ,usimtumie hela yote kwenye biashara ambayo bado hujaijua vizuri mzunguko WAKO.
 
Back
Top Bottom