Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Sasa jamani nyinyi si mtoe mawazo ya biashara tu. Kipindi namaliza chuo nilirudi home na shilingi milioni 6 na sikuwa nada ya kazi ni pesa niliokuwa napewa na wazee masomoni
Kwahiyo na Mimi nilipaswa kuulizwa nimezitolea wapi.
Hela ilipopatikana inaweza kuwa mwanga wa kutoa ushauri