Sasa jamani nyinyi si mtoe mawazo ya biashara tu. Kipindi namaliza chuo nilirudi home na shilingi milioni 6 na sikuwa nada ya kazi ni pesa niliokuwa napewa na wazee masomoni
Kwahiyo na Mimi nilipaswa kuulizwa nimezitolea wapi.
Niliwah kuwa winga wakati nipo chuo X DSM , nilivyo drop out nikapoteanaKwan hujawah kufanya biashara yeyote?
Unaweza kuweka hata kibarazani kwenu maana hela ya kufungua duka huna.Ya kutembeza kwenye bar hapana
Wewe mpatie ushauri tu kuhusu alipopata pesa muachie mwenyewe.Hela ilipopatikana inaweza kuwa mwanga wa kutoa ushauri
OkUnaweza kuweka hata kibarazani kwenu maana hela ya kufungua duka huna.
Mpaka Leo hii toto la kiume linashabikia ushoga ase , kweli hari ni mbaya Linda kishundu hicho watakipampula 😂umepewa na mumeo mwambie akuongezee iwe 2M
Hope unaendelea vizuri..900K umeipata wapi?
Nina wazo lakini silitoi bure.Ya kutembeza kwenye bar hapana
Duuu ,haya na uiuze sasa .Nilichogundua pia ,ukiachana na wanawake pia wapo wanaume ambao hawapend kuona WIN kwa wanaume wenzao .Nina wazo lakini silitoi bure.
Kwa 900k usikimbilie biashara inayokula mtaji wote kwenye kodi na fremu. Ukiwa Banana, ningeshauri uanze biashara yenye mzunguko wa kila siku na gharama ndogo za uendeshaji.Mim nipo Banana ,hapa Dar
Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid .
Mwenye wazo naomba
Kuna mtu kakupa wazo , kakupa na location ya kufanyia biashara umekataa location huwezi kuuza bara kwani lazima uuze bidhaa bar? Hiyo hela utaila tu we sio mfanya biashara.Duuu ,haya na uiuze sasa .Nilichogundua pia ,ukiachana na wanawake pia wapo wanaume ambao hawapend kuona WIN kwa wanaume wenzao .
Ndogo kweli ,.900k ndogo ,
Uza miguu ya kuku,
Uza miogo ya kukaanga,
Fungua genge la matunda,
sawa mkuu, do what you think is the best 🙌🏾Sijui kama uliloliandia umesoma aua ndo wale mnaponza wachungaj wanaonekana hawajitambui.Sasa nipo na mtaji na Mungu kanipa afya njema na uwezo wa kuchakarika kujua fursa .Wewe bado unataka niendelee kuomba sasa niombe nin ??
Iman bila matendo si kitu
Teenage..unaomba msaada ..unaanza kutukana watu kwa hiyo laki 9..nidhamu ni jambo la msingi sana kwa kila ushauri utakaopewa hapa.Nimepewa hii .Lakin kama huna tuliza kishundu