Tengeneza app za uchumba utaopoa sana pesa wanatongozana wewe unalipwa jingine weka danguro au uza chipsiMim nipo Banana ,hapa Dar
Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid .
Mwenye wazo naomba
Mwanangu unaomba mawazo lakini umechafukwa kinoma😅Sijui kama uliloliandia umesoma aua ndo wale mnaponza wachungaj wanaonekana hawajitambui.Sasa nipo na mtaji na Mungu kanipa afya njema na uwezo wa kuchakarika kujua fursa .Wewe bado unataka niendelee kuomba sasa niombe nin ??
Iman bila matendo si kitu
Tafuta maeneo ya uswahilini anzisha biashara ya bangi.Mim nipo Banana ,hapa Dar
Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid .
Mwenye wazo naomba
Hawa wenye makebo Huwa nawachapa na hawa popoi chochoteUkosefu wa akili.... una hela hujui uifanyie nini ? Nenda bar yenye mademu wenye makebo wakupopoe
🥺😂 Ujue watu ni wehu sana , wanageuza Mungu ndo mfanyakaz wao yaani wanataka like neno la kwambwa watakula kwa jasho wanataka kukwepa kimtindo dadek.Mwanangu unaomba mawazo lakini umechafukwa kinoma😅
Niajiri mtu ??Kuuza mayai chemsha au juice baridi