Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #41
Pamoja sana mkuuCheza Live Bet Mm hua nachezaga hiyo mfano dk 42 unaweka Correct Score ya first half au dk ya 89 unaweka Correct score ya mechi inalipa ukiwa na mtaji mkubwa
Kuna kijana tamaa ilimtajirisha. Anawekaga yale ya makaratasi marefu kwa elfu moja. Sasa hivi ana nyumba nzuri mno imetokana na betting. Ila huwa anafanya kama mchezo maana ana kazi yake rasmi. Kijana mmoja smart.kinachotucost ni tamaa, mimi huwa nikiweka odds 2 nakula sana ila tamaa, kwenye live hiyo hiyo kuna siku naweka odds 1000+ zinachana timu 2 au moja. Jmosi mida ya saa 10-12 jioni kwenye live game huwa ni nyingi sana, ukiweka tamaa pembeni hukosi ela.
Dk ya 90 bila bila unaweka ft x dk ya 94 watu wanapata goliCheza Live Bet Mm hua nachezaga hiyo mfano dk 42 unaweka Correct Score ya first half au dk ya 89 unaweka Correct score ya mechi inalipa ukiwa na mtaji mkubwa
Hili nalo nilitarajia kwenye huu Uzi maana masikini mawazo Yao ni mtu mwingine afeli kama alivyofeli yeyeRiP mikeka yako😂😂😂
Acha tamaa tafuta odd 2 au tatu Kila weekendWadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani, nipo serious wadau naombeni ushauri wenu.
Wauzaji wa sure odds ni matapeli waliochangamka.Nunua correct score zile naonaga watu wanapost million 8 wengine 6. Mfumo wao ni kuwa unanunua mkeka 160-180 kabla haujaanza then unatupia kati ya 20,000 mpaka 50,000 kwa mtaji huo ukipiga mara odds 200+ ni hela ndefu sana.
Pamoja kopAcha tamaa tafuta odd 2 au tatu Kila weekend
Biashara ya kamari ni kazi za mabepari.Hili nalo nilitarajia kwenye huu Uzi maana masikini mawazo Yao ni mtu mwingine afeli kama alivyofeli yeye
Kuna maswali yanafungua akili iliyolala ila ndo hivyo kuna zilizokufa. Kuna mtu atakusoma hapa na atazitafuta hizo sure na ataliwa na atajaribu tena ataliwa atajaribu tena atapata atasahau alivyoliwa mara mbili atajaribu tena...........Kama elfu 7 wanakuambia ni uhakika utapata million 12 kwanini wenyewe wasiweke elfu 70 wapate millioni 120?
Umasikini shida sanaBiashara ya kamari ni kazi za mabepari.
Bepari kazi yake kubwa ni kukusanya kidogo cha maskini ili azidi kuwa bilionea.
Anakuonyesha billions of money ili mimate ikutoke akurambe tuhela twako
Chunga ulimi wakoWauzaji wa sure odds ni matapeli waliochangamka.
Kama elfu 7 wanakuambia ni uhakika utapata million 12 kwanini wenyewe wasiweke elfu 70 wapate millioni 120?
Wale wateja wao wakubwa ni wajeda na police kwakuwa wamewaona wengi ni zero brain
Kampuni Gani hiiBet kama hivyo. Hapo ni demo ya formula ninayotaka kwenda nayo msimu huu. Hiyo ni live betting. Hii formula inanipa matokeo chanya 99%.
Shida yangu ni moja tu, siwezi vumilia nisiwe na mkeka active. Kwahiyo najikuta naenda nje ya formula, namfaidisha muhindi.
Tangu nianze na hiyo formula, sina hasara
Ukitaka kupima akili ya mtu angalia majibu yake.Ninajua ninachokifanya
Nitajie jinsi unavyobet formula YakoWewe mtoto wa Dar es salaam natamani nikupe mbinu zangu au nikupe namba na password za akauntu yangu ya wasafi bet ukayaone maajabu ya mtoto mwenzio wa Dar Ila naogopa sisi watu wa huko utapeli nje nje ,usije badili akaunti yangu iwe yako mwisho nibaki kulia .
Sasa sijui nikisaidieje homeboy maana kwa huo mtaji utajiri ni kugusa kabisa ,mwenzio Sasa hivi sinywi tena pombe za kudandia ni mwedo wa zungusha kibaba maana Mimi napendelea ulanzi tu .
Sasa sijui nikusaidieje homeboy embu toa njia salama ya Mimi kutokutapeli na wewe usinitapeli nikuoneshe mbinu kwa vitendo kwenye mikeka yangu
Ni maformula yanayohusisha kingereza rafiki na Mimi na hiyo lugha hatuelewani naogopa kuanza kuandika hapa mwisho nichapie watu wanicheke ndiyo maana nikitaka uangalie wewe practically Ila kwa kuandika naogopa kuchapia bwana ,Nina mke humu humu nduguNitajie jinsi unavyobet formula Yako
1xbetKampuni Gani hii