Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

Pole mtu wangu wa nguvu πŸ˜ŠπŸ˜„
Kama nakuona Mshangazi dot com
 
Asante, ndimu nakamulia au nachemsha pia?
Unakata au unasaga tangawizi ndimu unaosha haumeny unakata kata vipande 4 unaweza ongeza na garlic unachemsha kabla haijapoa unakunywa
Faida
Itafungua Upper airway
Ndimu ni vitamin C itaboost immunity

ZIADA
Ukiweza kwenye mkusanyiko vaa barakoa
 
Dawa ya mh; Dr Dorothy gwajima.
πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Messenger_creation_59f61dcf-a260-4e05-b4f9-4da9ce1cdd2b.jpeg
    73.6 KB · Views: 23

Lazima upwaye kama unapenda kuwa treated kama mwanamke why usipwaye? Sisi wanaume wengine tunaendelea kupinga hizi tabia za kujifanya nyie ni wanawake. Tuwatongoze kisha mtake tupatia utumbo.
 
Hili swali nilitegemea aniulize mtoto wa 2000 ila sio wewe mshangazi,au umesahau heka heka za 2020 mambo ya lock down?
Tatizo hayo maneno yenu mengine mnayotumia siyajui, kumbe ulimaanisha kujifukiza, basi nimekuelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…