Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #101
Sawa, nimekuelewa. Asante πSio sahii kuuliza tiba za magonjwa kwenye social media , labda ukute unazuga tu ila kitaalamu haifai kabisa.
Matango ya kienyeji ndiyo yapi hayo?Matango mawili makubwa ya kienyeji yafakamie mazima na maganda yake.
Ndege achana na huyo mtu utapigwa banπ₯²
Asante kwa ushauri mzuri.Ndege achana na huyo mtu utapigwa banπ₯²
Sokoni yanapatikana ukiuliza. Yale ya kisasa madawa na sumu tu. Sio makubwa ni ya wastani size yake.Matango ya kienyeji ndiyo yapi hayo?
Unatafuta mume JF?Asante kwa ushauri mzuri.
Huyu dogo ni mchokozi sana.
We bwege tu
Sawa, asante, napenda kula matango so hili ni rahisi kwangu.Sokoni yanapatikana ukiuliza. Yale ya kisasa madawa na sumu tu. Sio makubwa ni ya wastani size yake.
Unatafuta mume JF?
Haya nimekuonea huruma njoo nikukune. Sharti ni moja tu ujue kuikatikia.We bwege tu
Umeshindikana π π πHaya nimekuonea huruma njoo nikukune. Sharti ni moja tu ujue kuikatikia.
La hasha mkuu.Umeshindikana π π π
Bwege wewe utafirwaHaya nimekuonea huruma njoo nikukune. Sharti ni moja tu ujue kuikatikia.
Mbona unapenda sana kufirwa. Nini kimekuathiri we fala.Bwege wewe utafirwa
Ule uzi si mchezo.Hawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu.
Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma?
View attachment 3340071
******π€§π€§π*********
Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea ongea mpaka usiku wa manane. Kwa sababu yenu sijapumzika vizuri na nimeamka mwili umepwaya pwaya tu, sijakaa sawa πππ.
Mkiongozwa na Nusratt , secretarybird , Mbaga Jr , uzuri_hatujuani , Tripp na genge lenu lote ππ!
Corona imerudi jamaniHawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu.
Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma?
View attachment 3340071
******π€§π€§π*********
Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea ongea mpaka usiku wa manane. Kwa sababu yenu sijapumzika vizuri na nimeamka mwili umepwaya pwaya tu, sijakaa sawa πππ.
Mkiongozwa na Nusratt , secretarybird , Mbaga Jr , uzuri_hatujuani , Tripp na genge lenu lote ππ!
Wahi kumeza AZUMA na anza mazoezi mepesi haraka sana. COVID ipo mjiniHawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu.
Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma?
View attachment 3340071
******π€§π€§π*********
Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea ongea mpaka usiku wa manane. Kwa sababu yenu sijapumzika vizuri na nimeamka mwili umepwaya pwaya tu, sijakaa sawa πππ.
Mkiongozwa na Nusratt , secretarybird , Mbaga Jr , uzuri_hatujuani , Tripp na genge lenu lote ππ!
Halafu mie nitaishije humu JF?
Acha tu, wamefunga na wamefuta replies zote zile za moto moto π πUle uzi si mchezo.
Naona mods wameufunga tusiendelee kumwaga mautamu.
Wamenikera sana