Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

Unaihua hospitali ya karibu?kama unajui wanayot tiba ya shida yako.
 
Acha tu, wamefunga na wamefuta replies zote zile za moto moto πŸ˜‚ πŸ˜‚
Jana naenda kulala nimeacha 411 leo nimekuta 324, nikabaki hoi nacheka tu πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila jamani.
Wenyewe tulikuwa tunajifariji wakaona hawa ngojea wajishaue tu.
Nimesikitika sana, sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…