Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Ndio ushauri wa kiume ninaoutakaView attachment 3697607Mtoto haliliwi, Kama jogoo anawika tafuta mtoto mwingine mkuu. π€π€
Yes mkuu, unaweza kung'ang'ani na kuhangaika kulea mwisho wa siku akikua ndo huyo huyo anakuja kuuza Mali zako zoteNdio ushauri wa kiume ninaoutaka
Just imagine!View attachment 3697608
πππ
Mkuu sio wewe tu, hata mimi kuba binti nimezaa nae alijifungulia kwao, shorttly binti ananichukia sana japo ni kiburi by nature ILA HAWATAKI HATA MIA YANGU, mpaka nilishapostig humu kuomba ushauri, now dogo ana 2 na nusu wanakomaa wao,japo dogo nimerandisha randishaHabari zenu wakuu,
Japo mnasema Kitanda hakizai haramu lakini Kwa hapa nimekuwa nimekuwa Na mashaka, Ni miaka miwili Sasa imetimia Toka niachane Na Yule binti wa kizaramo Na kuachana kwetu Kwa upande wangu sikuwa Na sababu kubwa japo Nina Imani Kwa upande wake sababu ilikuwepo japo mpaka Leo hajawahi kuiweka wazi..
Toka ameondoka huwa nampigia Kufahamu Hali ya mtoto lakini huwa ananiambia haitaji chochote kutoka Kwangu kuhusu matumizi ya mtoto, Na hapo ndipo kidogo huwa inanitia mashaka, Kama kweli mtoto Ni damu yangu iweje Baba wa mtoto nikataliwe kutoa hata matumizi.....
mzee mwenzangu we kila siku majanga tu mara mkeo akuamie huna nguvu na kukudhalilisha lah.. jitafakari kuna eneo umekosa... spritually.Habari zenu wakuu,