Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Acheni huu UPUMBAVU jiwez alikaa madarakani Miaka 6 ukiacha kuua watu nakufilisi watu aliweza nini...jiwe na huyo mamaenu wote hawana la maana zaidi yakuumiza watu tu

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app

JPM was the best P for our Country. Nyie wapiga majungu msubirini Mungu atawaongoza mana mmekuwa kama vigori wa zamani. Maneno tu Mradi Bundle. Samia ndo kaanza tu Lakini maneno Millionen. Kila uongozi unapaswa kuangaliwa at least minimum baada ya Miaka 3. acheni aandae abstrakt na table of contents yake. Then aandike hata kautangulizi. Then anza kumjudge accordingly and not according to your personal opinion. Kumbuka Rais sio katibu Kata wala mkuu wa mkoa. She has bigger issues to deal with than your unfounded worries.
 
Hii hoja yako si ya kupuuzwa hata kidogo.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwenye safari za mama.Je,anaenda kuzurura tu au?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hata tozo tulidhani za Mwigulu kumbe zina baraka zake. Mimi siamini kama kashikiwa akili kwa kiwango ulichoeleza.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Si nasikia Mama yeye anafanya kazi kimya kimya.Hana haja ya "makamera" wala "mic"

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kwani akienda kushoot muvi harudi au anakuwa bongomuvi mazima?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Shida ipo kwenye ripoti ya Profesa Asad na aliyotendewa. Kuuishi Uzalendo kwa vitendo siyo lelemama.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
"Kugombanishwa" ni jambo moja na "Kukubali kugombana" ni jambo jingine.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Ukisema ufanye tofauti na waliokuweka kitu gani kinaweza kukukuta?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…