Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Wanajiita CCM asili. Waliwahi kusema marehemu mshamba.
 
duh!!
 
Possibly tumeanza kumkumbuka Magu
 
Kufanya uchaguzi tena ni gharama mkuu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Nchii hii unajua ina pesa kiasi gani? Au unadanganyika na maneno ya wanasiasa? Eti alivyoapishwa anajisemesha eti hakukuta pesa ilienda wapi? Siasa ni mchezo mchafu.kuelewa ni ngumu.
Endelea kuitizama hii drama mwisho wake kuna visiki lazima viondolewe watimize malengo yao.
 
Duh!.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Timu ipi?

Alipoingia ikulu alitimua timu yote ya pale ikulu akaweka ya kwake!

Na mlishangilia kweli humu mkisema sukuma gang out.

Sasa hivi vilio vyenu havitawasaidia chochote
Bora mama mara milioni kuliko sukuma gengi. Aaaah ninapumua aisee
 
Mabeyo yeye siyo gang?

Na bado mpaka maji muite mma
mkuu kwa heshima ya jpm naomba uwaache hawa kuku peke yao humu,somo wamelielewa hata mwaka bado[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…