Na kwanini Mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi wake akiwa na Bilicanas...
Mabaunsa watasaidia nini kipindi cha chaguzi mbele ya Ak 47
 
Huenda hii kesi yenyewe ni ugaidi dhidi ya serikaLi au jeshi la polisi. Bora ushahidi mwingine uliotolewa kuliko wa urio ni kama unahujumu serikali
 
Swali la msingi kwangu, je baada ya watekelezaji wa mipango yq ugaidi kukamatwa bila ya kumkamata mfadhili...je walikua na uhakika Kama mfadhili atashindwa na mipango.
US wakamate wapiganaji wa alkeida halafu wanywe chai na Osama wasubiri kumkamatia kwenye kongamano.
 
Inawezekana urio ndo sababu ya kufukuzwa kwao kazi
 
Huyu jamaa atakuwa amesababishiwa ulemavu wa ubongo kwa kile kibano cha Mahita!
Na kweli ni mtuhumiwa aliyekuwa blackmailed ili asaidie ushahidi wa mchongo

Kwa kunyanganywa mawasiliano binafsi wakati yeye si mhalifu ilikuwa ni Kama kumtesa Urio kisaikolkjia.

19. Urio anasema amejuana na Mbowe toka mwaka 2009. Toka wakati huo wote hajasema Mbowe kumshirikisha kwenye uhalifu wowote na kunachaguzi nyingi zimepita. Kwanini mwaka 2020 Tena Mbowe anashirikisha watu aliofahamina nao kwa siku chache mno. Chini ya siku 10.

20. Urio amejenga hoja tokea awali kuwa Mbowe alihitaji ukaribu na Urio ili kupata mifumo ya ulinzi na kuwajua wanaoutaka kuhujumu chama kwa kutoa Siri
 
Hata kama walishirikishwa lakini haiwezi kusemwa. Vyombo vya kijasusi havizungumziwi hivyo. Na kwa tukio sensitive hivyo ni dhahiri VIlishirikishwa, Si ajabu hata lilianzia huko kabla ya kupelekwa kwa DCI

Mahakama inadeal na vitu vinavyotajwa mahakamani, haitatoa hukumu kwa mambo yanayofichwa...
 
Mabaunsa watasaidia nini kipindi cha chaguzi mbele ya Ak 47
Sasa kama hawana msaada mbona miaka yote anafanya uchaguzi hakuwahi kutaka makomadoo na hakuna tatizo alilowahi kupata?
 
Wasiojulikana hawakuanza miaka ishirini iliyopita.
Hujui chochote tulia ukale mandazi kwa dadako
Enzi ya ulimboka walikuwa ni akina nani na kwa wengine wengi ambao walifanya matukio hadi leo hawajukikani?
 
Pia maelezo yake kuhusu Mbowe kupanga ugaidi ni mepesi, ya kitoto,"fictitious na "artificial" mno.
 
Hujui chochote tulia ukale mandazi kwa dadako
Enzi ya ulimboka walikuwa ni akina nani na kwa wengine wengi ambao walifanya matukio hadi leo hawajukikani?
Jibu hoja, kula maandazi kunatoka wapi? Ulimboka was un isolated incidence.
 
Kw
kwa akili yako ukiona mabaunsa huwa unadhani wote ni watu tu wameokotwa wakiwa wanalinda ubwabwa kwenye sherehe za harusi?
 
yaani wewe kumuona kwenye TV tu tayari unamjua vizuri sana MWAMBA MBOWE?
 
ameshakuja mahakamani na anaendelea kummaliza gaidi mbowe yaani anamuanika maovu yake yote makomandoo wanatoka anabaki aliyelikoroga mbowe jela mlangouko wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…