ameshakuja mahakamani na anaendelea kummaliza gaidi mbowe yaani anamuanika maovu yake yote makomandoo wanatoka anabaki aliyelikoroga mbowe jela mlangouko wazi
Mwache aje tu. Sio siri kuwa kipindi kirefu MMEFANYA bidii kubwa kuimaliza CHADEMA lakini Mbowe amekuwa ni kikwazo kikubwa pamoja kuharibu hata 'mali' zake. Utunzi huu wa Afande Ramadhani Kingai ambao ni mwendelezo tu, nao unazidi kupwaya kila uchao.
Mtahangaika sana lakini MBOWE sio gaidi na wote pamoja na mropokaji SIRRO na hata YULE Mheshimiwa aliyepayuka BBC mara baada ya kuapishwa, mnajua fika. AMEN
 
Aise!
 
Malya: Je ni Vibaya Mtu Kutafuta Ulinzi Kwa ajili yake

Shahidi: Sijui Kama Ni Kosa au Siyo Kosa

Malya: Lakini wewe Uliwatafuta Vijana Ukawaambia Waende kwa Mbowe Kufanya nini

Shahidi: Kuambatana kazi ya Ulinzi

Malya: Kwa hiyo Mtu Kuwa na Walinzi ni Kosa siyo Kosa

Shahidi: Sijui Kama Siyo Kosa

Malya: Kwa hiyo wewe wakati unawatafuta hawa akina Khalfani Bwire unawapa pesa au unawapeleka kwa Mbowe kuwa walinzi, hujui kuwa kosa siyo kosa?

Shahidi: SIYO KOSA

Mahakama: Kicheko
 
Homeboy katufundisha mengi sana. Kwanza hao watu hata kama ni kaka yako au mkeo usimwamini atakusinichi tu.
"Askari hawezi kuwa raia ila raia anaweza kuwa askari"
"Hata kama umefukuzwa kazi jeshini bado unakuwa chini ya kiapo"
 
''Askari aliyeiva hawezi kupokea mpangokazi wa Mhalifu na kuuacha hivyo hivyo bila kushauri chochote ambacho kingemtia hatiani mhusika bila kuathiri wengine wasio na hatia. Ni wapi Urio baada ya kupeleka taarifa kwa DCI na Kingai alipoonesha kumwingiza Mbowe mtegoni zaidi ya kumwacha aendelee na mipango yake na yeye kutegemea huruma ya Mbowe kumpigia simu? Komando huyu anayehusudu nguvu pipa na akili Kisoda anamwachia Mhalifu aendelee na uhalifu bila followup wala tailing?''
 
Kaingia jeshini akiwa Na form iv akaunga akapata advance diploma ya mambo ya parachute,
mm naomba kueleweshwa hii ya kuingia jeshini ukapata cheo mpaka koplo kisha ukaruka mpaka nyota.
 
Thibitisha kwanza kama ile bastola ni ya Adamoo au alikutwa nayo. Leteni finger print. Baba acha kuwa mpumbavu. Fikili deeper between lines
Sasa unaniuliza mimi ambae siko mahakamani kama wewe?

Mashahidi waliowakamata wameiambia hivyo mahakama na vielelezo vimepokelewa mahakamani kama ushahidi.

Sasa wewe nae unaleta vi-maswali uchwara kwangu?

Sisi wote tuko nje ya mahakama....iacheni mahakama ifanye kazi kwa uhuru.
 
Tulieni kwanza ushahidi bado unaendelea kuja.
Haya yote mnayoyajadili hayana muelekeo wa kesi.

Maelezo yalikwishatolewa kwa maandishi.
Hizi mbwembwe za mawakili wa-somy ni vihoja mahakamani tu.
 
Kaingia jeshini akiwa Na form iv akaunga akapata advance diploma ya mambo ya parachute,
mm naomba kueleweshwa hii ya kuingia jeshini ukapata cheo mpaka koplo kisha ukaruka mpaka nyota.
Wengi wapo jeshini Wana elimu ya hapa na pale na ndio maana magu alishindwa kupeleka huko Mambo ya vyeti feki.

Wangebaki wachache sana.

Na USIOGOPE kusikia mtu major au luten or captain sio shule wengi wao is not qualified person even in the military training.

Wengi weupe vichwani
 
Tulieni kwanza ushahidi bado unaendelea kuja.
Haya yote mnayoyajadili hayana muelekeo wa kesi.

Maelezo yalikwishatolewa kwa maandishi.
Hizi mbwembwe za mawakili wa-somy ni vihoja mahakamani tu.
Kwa akili yako hayo maelezo yaliyotolewa ndio yanatosha kumtia mtu hatiani kwa ugaidi? Embu tawanya ubongo kidgo alafu ujibu
 
Tulieni kwanza ushahidi bado unaendelea kuja.
Haya yote mnayoyajadili hayana muelekeo wa kesi.

Maelezo yalikwishatolewa kwa maandishi.
Hizi mbwembwe za mawakili wa-somy ni vihoja mahakamani tu.
Kwa hiyo hapo wanafanya nini? Kumbe wewe ni Zuzu kiasi hiki? Yaani unadhani Jaji atachukua maelezo kwenye faili la Polisi na kutoa hukumu? Au unadhani Jaji atatumia Committal proceedings kutoa hukumu? Eti yanayotolewa Sasa mahakamani hayana mwelekeo wa kesi? Polisi failure wewe!!!
 
Jambo ambalo majibu yake mpka muda huu sijui yasemeje ?
Kama bwire alikuwa informer iweje Sasa yupo kizuizini kwa mashtaka hayo ya ugaidi?
Kama kweli bwire ndio aliyesema mbowe amewatuma kazi ya kwenda kumdhuru Kiongozi huyo wa wilaya iweje bwire aieleze mahaka kwenye kesi ndogo alipigwa Sana ili aseme hata yake ya uongo?
Mashtaka haya ni kubumba haya mashiko.
 
Kwa haya maelezo yako nimekwisha kukuelewa/kufahamu uwezo wako wa akili hasa ktk kufikili. Naomba nisiendelee kukujibu
 
Kuna kosa kisheria kuhitaji makomandoo?Huoni kuna haja ya kuongeza ulinzi hasa ukizingatia tukio la kupigwa risasi Lisu na wasiojulikana bado kukamatwa?Hebu tafakari kwa kina zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…