Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Hakuna kesi kufutwa, wacha iendeleeeWashauri wa mama wako wapi? Wangemshauri afute hii kesi Ni aibu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kesi kufutwa, wacha iendeleeeWashauri wa mama wako wapi? Wangemshauri afute hii kesi Ni aibu tu.
Kuna comedy za kitoto sana yaniNimecheka sana, Urio anasema kwenye meseji aliomba atumiwe nauli ya kuwa-mobilise watuhumiwa, akaulizwa kwa hiyo alifanya kazi ya kuwa-mobilise magaidi anajibu hapana sio mimi ni Mbowe, wakati kule juu alishakiri yeye ndie aliyetumiwa nauli ya kuwa mobilise watuhumiwa.
Swadakta hata akina sabaya walipoambiwa hayo hawakujua ni nini kitakuja kuwatokea mbeleniKila ubaya utalipwa
Atakwepa ugaidi lakini tuhuma sio ugaidi tu.Kwa akili yako hayo maelezo yaliyotolewa ndio yanatosha kumtia mtu hatiani kwa ugaidi? Embu tawanya ubongo kidgo alafu ujibu
No, time will tell! Watafika mahali watakua hawana optionNi ngumu ccm kuwatosa watu wake
Yani hii ni aibu kubwa sana ikiwa watu waliopewa dhamana kubwa hivo wanakua waongo kuna haja gani ya kutawala?Na pia kwa maelezo aliyotoa ameshindwa hata kumtambua Mbowe. Amefail sana.
Atakwepa ugaidi lakini tuhuma sio ugaidi tu.
Panua akili sio mdomo.
Mwanamke utafuta madaraka Ili amkomoe mwanaumeHamna kesi hapo bali niuharibifu wa national resources - nchi maskini kama hii kufanya mambo ya hovyo kama haya yanayolighalimu taifa letu mamiliom ya fedha kisa ati kumkomoa Mbowe na familia yake sababu kubwa anaisumbua CCM
YeahLuteni Urio amekosea kuwalengesha vijana wa watu wakaacha ajira zao na kuwatumbukiza ktk " mipango " ya Mbowe.
Mbowe alitakiwa achomekewe undercover police ambao wangeenda naye taratibu mpaka wamkamate kukiwa na ushahidi usio na mashaka.
Wameshachelewa sana mana dahWashauri wa mama wako wapi? Wangemshauri afute hii kesi Ni aibu tu.
kesho anamalizia mallya kumpigisha kwata ,atafata matata etie ,harafu anafatia kibatala ifungwe kazi ilimjadala ufungweDenis Urio leo kuna mahali alibanwa kwenye cross examination na wakili Nashon akasema mwenyewe Mbowe sio gaidi.
Linamwangukia..... !Jumba bovu hilooooo......