Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa
Ninaona watu wengi wana discusses nakumshutumu Urio kuwa alikosea sana kwenda kulipoti kwa DCI na Kingai kama inavyosemekana na badala yake kwasababu yeye ni mwanajeshi ilitakiwa akalipoti kwanza kwa wakubwa wake wa kkjeshi nk. nk...

Lakini kabla hatujafika huko tujiulize kwanza hizo shutuma za Mbowe za ugaidi zilikuwepo on the first place? Mimi nafikiri hazikuwepo ila kilichotokea Mr. Urio kwa kutaka masifa na kuto kufikilia vizuri, alikwenda kwa DCI na kulipoti kuwa Mbowe anatafuta/anataka makomando waliofukuzwa jeshini kwa kazi ya VIP Protection lakini kuna uwezekano kuna mengine nyuma ya hili na napendekeza afanyiwe uchunguzi.

Kwa bahati mbaya sana hii issue ikawaangukia watu sio sahihi kwakazi hiyo na wametufikisha hapa tulipofika kwa kuitumia hiyo issue kama mtaji wao na ndio maana tumeona washiriki wote wamepanda vyeo. Wakawashirikisha wanasiasa vilaza na kufungua kesi ya ugaidi bila kufikilia vizuri. Wamemlazimisha Urio awe shaidi yao mkuu ktk kesi yakutengeneza na ndio maana wanapata tabu sana kwasababu hizo tuhuma za ugaidi hazikuwepo in first place
 
Hapo ndio umenena, Lt Leo Urio alijichomeka kiherehere, ili kupata maujiko km alivyopata cheti cha O level ambacho si chale huko King'ori, Mbowe baada ya kuvunjwa mguu akaona Tundu Lissu kapigwa risasi na kavunjwa mguu na wakiwa na ulinzi tena wa Serikali, akaona atafuta walinzi makomandoo walioachishwa kazi.

Kwa elimu ya Urio Leo siku hiyohiyo akiwa Mgulani akatafuta ujiko kwa DCI (kachomeka kuwa watachoma vituo vya mafuta, watakata miti barabarani, watamuua Sabaya Leo kaambiwa wapi ushahidi hana anazo sms za tigo pesa).

Karma itawamaliza hasa kizazi hiki cha maPolisi
 
Hapo ndio umenena, Lt Leo Urio alijichomeka kiherehere, ili kupata maujiko km alivyopata cheti cha O level ambacho si chale huko King'ori, Mbowe baada ya kuvunjwa mguu akaona Tundu Lissu kapigwa risasi na kavunjwa mguu na wakiwa na ulinzi tena wa Serikali...
Mnataka kumfanya mbuzi wa kafara sasa.
 
Mnataka kumfanya mbuzi wa kafara sasa.
alitahadharishwa na Wakili wa kwanza tu wa uretezi kuwa atakuwa shujaa au mshutumiwa ktk Kesi hii
1643435823356.png
 
Ninaona watu wengi wana discusses nakumshutumu Urio kuwa alikosea sana kwenda kulipoti kwa DCI na Kingai kama inavyosemekana na badala yake kwasababu yeye ni mwanajeshi ilitakiwa akalipoti kwanza kwa wakubwa wake wa kkjeshi nk. nk....
Cha ajabu, kesi CD/IR/2097/2020 ilifunguliwa tarehe 18/7/2020 na RCO wakati huo Kingai kabla hata ya mleta taarifa Luteni Urio hajaipot kesi hiyo 24/7/2020. Hivi Kingai aliwezaje kufungua kesi kabla informer hajapeleka taarifa hizo? Je Kingai alioteshwa kwamba kutatokea hili?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndio umenena, Lt Leo Urio alijichomeka kiherehere, ili kupata maujiko km alivyopata cheti cha O level ambacho si chale huko King'ori, Mbowe baada ya kuvunjwa mguu akaona Tundu Lissu kapigwa risasi na kavunjwa mguu na wakiwa na ulinzi tena wa Serikali, akaona atafuta walinzi makomandoo walioachishwa kazi.

Kwa elimu ya Urio Leo siku hiyohiyo akiwa Mgulani akatafuta ujiko kwa DCI (kachomeka kuwa watachoma vituo vya mafuta, watakata miti barabarani, watamuua Sabaya Leo kaambiwa wapi ushahidi hana anazo sms za tigo pesa).

Karma itawamaliza hasa kizazi hiki cha maPolisi

Nadhani Lt Leo Urio alikuwa na nia nzuri kabisa.

Mosi kuwatafutia kazi wanajeshi wenzake ambao ajira yao ilisitishwa jeshi.

Pili Lt Leo Urio anafahamu uwezo Lingwea na Adamoo ndio maana aliamua kwa hiyari yake kuwatafutia kazi.

Tatu kwakuwa Lt Leo Urio alifahamu matatizo ya upinzani hasa CDM hasa suala zima la ulinzi na usalama lilikuwa tete.

Nne Ikumbukwe kabla ya kuwatafuta walinzi tayari Lissu alishashambuliwa na wasiojulikana ambao wanajulikana na ipo siku watalipa uhovu walioutenda.Mbowe naye hakibaki nyuma alishambuliwa na kuvunjwa mguu.Vyombo vya usalama badala ya kuchukua hatua vilibaki kimya huku Spika wa zamani Ndugai akimdhihaki mbowe ndani ya Bunge.

Tano wanachama wengi wa CDM walishashambuliwa wengine wakiuwawa kama Mawazo.Msaidizi wa Mbowe Ben Saanane na wengine wengi hawajulikani walipo hadi leo,wamepotezwa.

Sita Mbowe kama mwanasiasa ana haki ya kujilinda na kilindwa.Hatua ya kutafuta Makomandoo ilikuwa sahihi.

Mwisho nadhani Lt Leo Urio hakuwa na nia ya kumbambika kesi ya ugadi wala hakwenda kutoa taarifa kwa DCI.Kesi nzima ilianzishwa na aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai General Sabaya,hawa kina Kingai waliuziwa mbuzi ndani ya gunia.ACP Kingai na Team yake walitakiwa kuipanga hii kesi kwa umakini mkubwa lakini kwa Mshangao wa wengi walijikuta wakianzisha kesi kwa papara nyingi badala ya kutumia akili kubwa walijikuta wakitumia nguvu zaidi pasipo maarifa

ACP Kingai alijawa na tamaa ya kuukwaa u IGP baada ya kubaini Sirro karibu anastaafu alijua kupitia kesi hii angefikiriwa kuliko makamanda wengine.
 
Sasa kama ilianzishwa na Sabaya, Urio ameingiaje? Walipataje habari za Urio na Mbowe na makomandoo??
 
Ngongo kumuweka Sabaya upo sahihi kabisa ndio maana toka mwanzo kina Kingai walimtia Sabaya baada ya kuona atafungwa kwa makosa yake na kwenye ushahidi angewaangusha.
NI kweli Lt Leo Urio alidukuliwa mazungumzo yake ya zamani na Mbowe, ikabidi wambebeshe awe shahidi watunge Ugaidi, Sasa ushahidi wa kupangwa unaonekana
 
Na kwanini Mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi wake akiwa na Bilicanas?

Je, hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishirini?

Je, wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Unaongea kitoto sana.Hahahaaaa.

Kwahiyo ungekuwa wakili ungeuliza maswali haya?
 
Sasa kama ilianzishwa na Sabaya, Urio ameingiaje? Walipataje habari za Urio na Mbowe na makomandoo??
Ukitazama mchezo mzima utabaini Lt Urio alijikuta katikati ya mitego miwili,mosi baada ya General Sabaya kubaini Mbowe kaajiri Makomandoo wa kumlinda dhidi ya uonevu ambao ulikuwa sehemu ya kazi yake akajiongeza.Kwanza kutumia nafasi hiyo kujiweka karibu uongozi wa juu na kutumia nafasi hiyo kutengeneza kesi kubwa ambayo itamwondolea ulinzi Mbowe kipindi chote cha uchaguzi.

Kutengeneza kesi ya Ugaidi dhidi ya Lingwea na Adamoo lazima Lt Urio umwingize.Kwakuwa mwanzoni nia ilikuwa ulinzi (VIP PROTECTION) lazima kutumia mbinu zozote kuhakikisha Lt Urio anabadilika kutoka kuwaletea walinzi kwa nia njema kabisa na kuwa shahidi wa Serekali.Ndio maana katika ushahidi wake amejikuta katika hali ngumu sana.Kuikana kazi yake nzuri isiyokuwa na nia mbaya na kuwa shahidi wa Serekali.

Kwa hakika Lt Urio mpaka kufikia hatua ya kuwageuka Wanajeshi wenzake nguvu kubwa sana ilitumika,nadhani mwanzoni hakujua angefikishwa alipofikishwa.Lt Urio hakujua kumsaidia Mbowe ni kuisaidia CHADEMA ambayo maana yake ni kuiondoa Serekali ya CCM madarakani.Kajikuta Serekali nzima (Organs) zote zinatumika kuhakikisha mvua inyeshe jua liwake Serekali inashinda hii kesi kwa kishindo hasa ukizingatia Mh Rais alishaliongea mbele ya vyombo vya habari na hukumu ilishatoka.
 
Unaongea kitoto sana.Hahahaaaa.

Kwahiyo ungekuwa wakili ungeuliza maswali haya?
Narudia mwambieni.mbowe siku akitoka aache ujingaujinga kwani ameshakua mtu mzima sasa aacha kufanya mambo ya kitoto.
 
Natabiri bila Shaka kwamba baada ya ushahidi wake, hii kesi inakwisha. Kuna watu wanatwishwa lawama ili serikali ichomoke.

Serikali haiwezi kuendelea kudhalilika namna hii. Urio ni mbuzi tu wa kafara tu. Hii ni aibu ya taifa
 
Acha iendelee kinyesha Ili matobo yote yanayovuja yazibwe😃.
 
Back
Top Bottom