Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka kumfanya mbuzi wa kafara sasa.Hapo ndio umenena, Lt Leo Urio alijichomeka kiherehere, ili kupata maujiko km alivyopata cheti cha O level ambacho si chale huko King'ori, Mbowe baada ya kuvunjwa mguu akaona Tundu Lissu kapigwa risasi na kavunjwa mguu na wakiwa na ulinzi tena wa Serikali...
alitahadharishwa na Wakili wa kwanza tu wa uretezi kuwa atakuwa shujaa au mshutumiwa ktk Kesi hiiMnataka kumfanya mbuzi wa kafara sasa.
Cha ajabu, kesi CD/IR/2097/2020 ilifunguliwa tarehe 18/7/2020 na RCO wakati huo Kingai kabla hata ya mleta taarifa Luteni Urio hajaipot kesi hiyo 24/7/2020. Hivi Kingai aliwezaje kufungua kesi kabla informer hajapeleka taarifa hizo? Je Kingai alioteshwa kwamba kutatokea hili?Ninaona watu wengi wana discusses nakumshutumu Urio kuwa alikosea sana kwenda kulipoti kwa DCI na Kingai kama inavyosemekana na badala yake kwasababu yeye ni mwanajeshi ilitakiwa akalipoti kwanza kwa wakubwa wake wa kkjeshi nk. nk....
Hapo ndio umenena, Lt Leo Urio alijichomeka kiherehere, ili kupata maujiko km alivyopata cheti cha O level ambacho si chale huko King'ori, Mbowe baada ya kuvunjwa mguu akaona Tundu Lissu kapigwa risasi na kavunjwa mguu na wakiwa na ulinzi tena wa Serikali, akaona atafuta walinzi makomandoo walioachishwa kazi.
Kwa elimu ya Urio Leo siku hiyohiyo akiwa Mgulani akatafuta ujiko kwa DCI (kachomeka kuwa watachoma vituo vya mafuta, watakata miti barabarani, watamuua Sabaya Leo kaambiwa wapi ushahidi hana anazo sms za tigo pesa).
Karma itawamaliza hasa kizazi hiki cha maPolisi
Sasa kama ilianzishwa na Sabaya, Urio ameingiaje? Walipataje habari za Urio na Mbowe na makomandoo??Nadhani Lt Leo Urio alikuwa na nia nzuri kabisa.
Mosi kuwatafutia kazi wanajeshi wenzake ambao ajira yao ilisitishwa jeshi.
Pili Lt Leo Urio anafahamu uwezo Lingwea na Adamoo ndio maana aliamua kwa hiyari yake kuwatafutia kazi.
Tatu kwakuwa Lt Leo Urio alifahamu matatizo ya upinzani hasa CDM hasa suala zima la ulinzi na usalama lilikuwa tete.
Nne Ikumbukwe kabla ya kuwatafuta walinzi tayari Lissu alishashambuliwa na wasiojulikana ambao wanajulikana na ipo siku watalipa uhovu walioutenda.Mbowe naye hakibaki nyuma alishambuliwa na kuvunjwa mguu.Vyombo vya usalama badala ya kuchukua hatua vilibaki kimya huku Spika wa zamani Ndugai akimdhihaki mbowe ndani ya Bunge.
Tano wanachama wengi wa CDM walishashambuliwa wengine wakiuwawa kama Mawazo.Msaidizi wa Mbowe Ben Saanane na wengine wengi hawajulikani walipo hadi leo,wamepotezwa.
Sita Mbowe kama mwanasiasa ana haki ya kujilinda na kilindwa.Hatua ya kutafuta Makomandoo ilikuwa sahihi.
Mwisho nadhani Lt Leo Urio hakuwa na nia ya kumbambika kesi ya ugadi wala hakwenda kutoa taarifa kwa DCI.Kesi nzima ilianzishwa na aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai General Sabaya,hawa kina Kingai waliuziwa mbuzi ndani ya gunia.ACP Kingai na Team yake walitakiwa kuipanga hii kesi kwa umakini mkubwa lakini kwa Mshangao wa wengi walijikuta wakianzisha kesi kwa papara nyingi badala ya kutumia akili kubwa walijikuta wakitumia nguvu zaidi pasipo maarifa
ACP Kingai alijawa na tamaa ya kuukwaa u IGP baada ya kubaini Sirro karibu anastaafu alijua kupitia kesi hii angefikiriwa kuliko makamanda wengine.
Ngongo kumuweka Sabaya upo sahihi kabisa ndio maana toka mwanzo kina Kingai walimtia Sabaya baada ya kuona atafungwa kwa makosa yake na kwenye ushahidi angewaangusha.Nadhani Lt Leo Urio alikuwa na nia nzuri kabisa.
Mosi kuwatafutia kazi wanajeshi wenzake ambao ajira yao ilisitishwa jeshi.
Pili Lt Leo Urio anafahamu uwezo Lingwea na Adamoo ndio maana aliamua kwa hiyari yake kuwatafutia kazi.
Tatu kwakuwa Lt Leo Urio alifahamu matatizo ya upinzani hasa CDM hasa suala zima la ulinzi na usalama lilikuwa tete.
Nne Ikumbukwe kabla ya kuwatafuta walinzi tayari Lissu alishashambuliwa na wasiojulikana ambao wanajulikana na ipo siku watalipa uhovu walioutenda.Mbowe naye hakibaki nyuma alishambuliwa na kuvunjwa mguu.Vyombo vya usalama badala ya kuchukua hatua vilibaki kimya huku Spika wa zamani Ndugai akimdhihaki mbowe ndani ya Bunge.
Tano wanachama wengi wa CDM walishashambuliwa wengine wakiuwawa kama Mawazo.Msaidizi wa Mbowe Ben Saanane na wengine wengi hawajulikani walipo hadi leo,wamepotezwa.
Sita Mbowe kama mwanasiasa ana haki ya kujilinda na kilindwa.Hatua ya kutafuta Makomandoo ilikuwa sahihi.
Mwisho nadhani Lt Leo Urio hakuwa na nia ya kumbambika kesi ya ugadi wala hakwenda kutoa taarifa kwa DCI.Kesi nzima ilianzishwa na aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai General Sabaya,hawa kina Kingai waliuziwa mbuzi ndani ya gunia.ACP Kingai na Team yake walitakiwa kuipanga hii kesi kwa umakini mkubwa lakini kwa Mshangao wa wengi walijikuta wakianzisha kesi kwa papara nyingi badala ya kutumia akili kubwa walijikuta wakitumia nguvu zaidi pasipo maarifa
ACP Kingai alijawa na tamaa ya kuukwaa u IGP baada ya kubaini Sirro karibu anastaafu alijua kupitia kesi hii angefikiriwa kuliko makamanda wengine.
Unaongea kitoto sana.Hahahaaaa.Na kwanini Mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi wake akiwa na Bilicanas?
Je, hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishirini?
Je, wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Ukitazama mchezo mzima utabaini Lt Urio alijikuta katikati ya mitego miwili,mosi baada ya General Sabaya kubaini Mbowe kaajiri Makomandoo wa kumlinda dhidi ya uonevu ambao ulikuwa sehemu ya kazi yake akajiongeza.Kwanza kutumia nafasi hiyo kujiweka karibu uongozi wa juu na kutumia nafasi hiyo kutengeneza kesi kubwa ambayo itamwondolea ulinzi Mbowe kipindi chote cha uchaguzi.Sasa kama ilianzishwa na Sabaya, Urio ameingiaje? Walipataje habari za Urio na Mbowe na makomandoo??
Kesi imeisha shahidi Mkuu na wa mwishouhimu kwa Jamhuri ni Lt Dennis Leo Urio na wamejikanyaga amesema hakuna ugaidi hapo, Kesi aliyoifungua Kingai na SabayaLililo bora ni tusubiri mwisho wa hii kesi utakavyokuwa.
Narudia mwambieni.mbowe siku akitoka aache ujingaujinga kwani ameshakua mtu mzima sasa aacha kufanya mambo ya kitoto.Unaongea kitoto sana.Hahahaaaa.
Kwahiyo ungekuwa wakili ungeuliza maswali haya?
Acha iendelee kinyesha Ili matobo yote yanayovuja yazibwe😃.Natabiri bila Shaka kwamba baada ya ushahidi wake, hii kesi inakwisha. Kuna watu wanatwishwa lawama ili serikali ichomoke.
Serikali haiwezi kuendelea kudhalilika namna hii. Urio ni mbuzi tu wa kafara tu. Hii ni aibu ya taifa
Hakuna Cha hatari zaidi ya waratibu umbambikiaji kuanika umbumbumbu hadharani😄.Jumla ya mashahidi ni 24.
Hao waliobakia ndio hatari zaidi!