Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Wale alioahidi Sirro? 😊Jumla ya mashahidi ni 24.
Hao waliobakia ndio hatari zaidi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale alioahidi Sirro? 😊Jumla ya mashahidi ni 24.
Hao waliobakia ndio hatari zaidi!
Isiishe tunamsubiri Sirro,Sabaya na BoazNatabiri bila Shaka kwamba baada ya ushahidi wake, hii kesi inakwisha. Kuna watu wanatwishwa lawama ili serikali ichomoke.
Serikali haiwezi kuendelea kudhalilika namna hii. Urio ni mbuzi tu wa kafara tu. Hii ni aibu ya taifa
Gaidi hawezi kuchomoka pale atakula mvua za kutoshaNatabiri bila Shaka kwamba baada ya ushahidi wake, hii kesi inakwisha. Kuna watu wanatwishwa lawama ili serikali ichomoke.
Serikali haiwezi kuendelea kudhalilika namna hii. Urio ni mbuzi tu wa kafara tu. Hii ni aibu ya taifa
Je vipi maharamia bambikizi yatatoka salama?Gaidi hawezi kuchomoka pale atakula mvua za kutosha
USSR
Kwenye kubet ipo NGG/NBTTJumla ya mashahidi ni 24.
Hao waliobakia ndio hatari zaidi!
Kuthibitisha kula njama ni kazi sana, mpo wawili mnajadili yenu mhudumu wa hoteli atasema kweli mlikaa pamoja lakini hakusikia mlichokuwa mnajadili maana Urio anasema walikuwa wawili tu kwenye mazungumzo yaoBado mashahidi zaidi ya 12 wanakuja,subiri kidogo.
Bado wahudumu wa mahoteli mipango ilipokuwa ikipangwa.
Hiyo ya urio ni Primarily evidence....
Bado exhibition.....
Hata magufulj alikua mfungwa mtarajiwa ndio maana akatunga sheria ya kutoshtakiwa akistaafu.Nyie mrukeruke ila kwa ushahidi wa upandewa mashtaka na weledi wa mawakili wa Mbowe- Mbowe ni mfungwa mtarajiwa
Kweli wewe mndukuBado mashahidi zaidi ya 12 wanakuja,subiri kidogo.
Bado wahudumu wa mahoteli mipango ilipokuwa ikipangwa.
Hiyo ya urio ni Primarily evidence....
Bado exhibition.....
Una uhakika gani au unajua siri zipi za Liteni Urio hadi unakuwa na wasi wasi na mchecheto wote huo? Kwani wewe shida yako ni nini katika hiyo kesi?Hahaahaaa!Mahakama za mitandaoni kazi kweli kweli!
Katika hali ambapo nia ya Magufuli ilikuwa ni kuuangamiza upinzani na ikiwezekana kuwaua viongozi wake njia pekee ya akina Mbowe kujilinda ilikuwa ni hiyo ya kuajiri makomandoo kwani hawakuwa na namna. Magufuli akishakuwa "A Rabid Dog 🐶🐕" anang'ata hata mti.Na kwanini Mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi wake akiwa na Bilicanas...
Rekebisha kwanza neno la Athali uliloliandika Kimakosa hapa na andika Neno sahihi la Athari sawa?Na kwanini Mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi wake akiwa na Bilicanas...