Yote naKwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Yote sawa lakini kuna haja kila mtu akawa na uhuru wake wa maoniKwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Nyie machawa ndo mmeharibu nchi.We fala kweli yani,unaangalia unapoangukia badala ya kuangalia ulijikwaa wapi?
Mambo ya zamani hayo unayosema ni lini.?kwani lisu alipigwa risasi lini?hawa jamaa ndugai waligoma lini kugoma kumlipa posho zake na matibabu yake lini,si ni hivi karibuni tuh?
Na samia kaja kumlipa stahiki zake lini,si ni hivi majuzi tuh?
Sasa wewe na mafala wenzako unasema hutaki kuangalia mambo ya zamani ili iweje.?
Mna akili za kuku ndiyo maana mafala kama pole pole wanawatumia kama toilet paper
Hakuna mmankonde mshamba sijui wewe umetokea MTWARA sehemu gani ....kusini hakuna Fala wewe utakuwa sio chinga , huwezi kuona watu wa kusini wanashabakia upumbavu
Wewe ni fala
Haya wewe rudi 2017 kazuie Lissu asipigwe risasi! Kazuie dr. Ulimboka kutekwa! Kazuie Sativa asipelekwe katavi! Yaliyotokea yatabaki kama kumbukumbu mbaya kwenye yetu sasa kwanini hatuzuii/ kemea yasiendelee?We fala kweli yani,unaangalia unapoangukia badala ya kuangalia ulijikwaa wapi?
Mambo ya zamani hayo unayosema ni lini.?kwani lisu alipigwa risasi lini?hawa jamaa ndugai waligoma lini kugoma kumlipa posho zake na matibabu yake lini,si ni hivi karibuni tuh?
Na samia kaja kumlipa stahiki zake lini,si ni hivi majuzi tuh?
Sasa wewe na mafala wenzako unasema hutaki kuangalia mambo ya zamani ili iweje.?
Mna akili za kuku ndiyo maana mafala kama pole pole wanawatumia kama toilet paper
Sasa utafanya nini,kesho Insha Allah anachukua form ya kugombea,na hata kama hutapiga kura sisi tutampigia...utafanya nini??Waganga kama wale aliowafata mwanza au? Hajawahi kuwa mpango wa Mungu huyo, ni mpango wa wanamtandao.
Meza mate, naona unahaha sana. Chawa mtaanza kubadili ID humu siku si nyingiSasa utafanya nini,kesho Insha Allah anachukua form ya kugombea,na hata kama hutapiga kura sisi tutampigia...utafanya nini??
Wewe na mafala wenzako endeleeni na matusi hakuna mwenye time ya kuwapa kick mafala.
Ona ulivyo na akili za kifala,nikazuie lisu asipigwe risasi?we huoni mmesababisha awe na ulemavu wa kudumu na siasa zenu za kishamba na huyo jiwe wenu?Haya wewe rudi 2017 kazuie Lissu asipigwe risasi! Kazuie dr. Ulimboka kutekwa! Kazuie Sativa asipelekwe katavi! Yaliyotokea yatabaki kama kumbukumbu mbaya kwenye yetu sasa kwanini hatuzuii/ kemea yasiendelee?
Kubadili ID.?wewe fala umejiunga lini JF...Meza mate, naona unahaha sana. Chawa mtaanza kubadili ID humu siku si nyingi
Rubbish.Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Michadema mishamba sana ndo maana tunaipiga gepu tu Kila uchaguzi. Iende mbele huko ikaibe tone tone......na uzuri ni kwamba wananchi wameshawastukia hivyo Sasa hivi hakuna njuluku ya mtu inapigwa kizembe.Kwa kifupi CCM hawajawahi kuwa na akili...yenyewe yamezoea kujaza matumbo yao na kunywa damu za watu
Huoni ulivyoandika uharo hapo, nadhani umelishwa maharage yaliyochacha na dada ako.Kubadili ID.?wewe fala umejiunga lini JF...
Maana now days watoto.wa 2000 mko wengi humu ndani,mkishashiba makande kwa shemeji zenu na mkapata hela za bundle mnakimbilia mitandaoni kuandika andika upuuzi
Uchaguzi gani? Hamjawahi kushinda toka 2010, huwa mnapoka uchaguzi na kupora madarakaMichadema mishamba sana ndo maana tunaipiga gepu tu Kila uchaguzi. Iende mbele huko ikaibe tone tone......na uzuri ni kwamba wananchi wameshawastukia hivyo Sasa hivi hakuna njuluku ya mtu inapigwa kizembe.
huyo si ndio current CAG wetu? kosa la slowslow ni nini sasa hapo.Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
Tena wanaomshabikia polepole ni wehu wameoza akili kabisa kwanza lisu haijawekwa ndani iliasitoe ushindani sio kweli chadema waligomea uchaguzi kabla ya lisu kuwa ndani kuwekwa ndani kusiusishwe na uchaguzi pia kiongozi aliokuwa anamtii polepole alisema swala la katiba yeye hakuja kufukua makaburi lakini hata polepole wakati nikiongozi hakuisemea katiba leoanakujajuu hovyo kabisa mambieni nimemtema mateAwamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
View attachment 3435952
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .
kajifunze kwanza kuandika bro, nilimepambana kusoma naona unahitaji msasa. kwa nini wana wa hire mkiwa darasa la saba? si watafute watu smart?Tena wanaomshabikia polepole ni wehu wameoza akili kabisa kwanza lisu haijawekwa ndani iliasitoe ushindani sio kweli chadema waligomea uchaguzi kabla ya lisu kuwa ndani kuwekwa ndani kusiusishwe na uchaguzi pia kiongozi aliokuwa anamtii polepole alisema swala la katiba yeye hakuja kufukua makaburi lakini hata polepole wakati nikiongozi hakuisemea katiba leoanakujajuu hovyo kabisa mambieni nimemtema mate
Na wao pia Wana mashaka mengi mnooooooo na wewe usoyemuunga mkono. Wengine wamefikia kuhoji, "au sio ridhiki huyu?!!!"Mi nina mashaka na akili za wanaomsifia MamaA, Kikwete na Wana mtandao wote.
Tatizo wewe sijaandika unachokipendakajifunze kwanza kuandika bro, nilimepambana kusoma naona unahitaji msasa. kwa nini wana wa hire mkiwa darasa la saba? si watafute watu smart?