Nina mashaka na akili za Watanzania wanaomshabikia Polepole

Na wao pia Wana mashaka mengi mnooooooo na wewe usoyemuunga mkono. Wengine wamefikia kuhoji, "au sio ridhiki huyu?!!!"
Ridhiki ndio nini?
Hahaha kila mtu afanye yake, mumpende mamaA na wengine muwaache wapende wampendaye.
 
kajifunze kwanza kuandika bro, nilimepambana kusoma naona unahitaji msasa. kwa nini wana wa hire mkiwa darasa la saba? si watafute watu smart?
Kifupi unaemshabikia polepole umeoza akili kama epuka kumshabikia muhuni
 
Kuna kitu umesahau, chadema walishajitoa kwenye uchaguzi baada ya kukataa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Samia ni mshindani amlazimishe kuingia kwenye mechi asiyoitaka? Hata logic haikubali. Shida ni kwamba chadema ni mtoto aliyezoea kudeka, nataka sitaki mpk abembelezwe, ndio maana wanachama wengi wenye nia ya kugombea wakajiondoa chadema. We ukisema cha nini wenzio wasema twakipataje yakhe! Chadema kweli ni manyumbu ya Serengeti, zero brain.
 
Ridhiki ndio nini?
Hahaha kila mtu afanye yake, mumpende mamaA na wengine muwaache wapende wampendaye.
Ndo tunachokisema na kukitaka hiko, Sasa kwanini nyie nyumbu wa lissu Kila siku mnahangaika na mama?!!!
 
Kipo Bora atulie tusijue madudu ya mfumo au aendelee kutupa madudu zaidi tupate uelewa? Mimi naona ni tumsikilize tujue mengi zaidi kwani Nia yetu ni kuikomboa nchi na Silaha moja wapo ni hizi tulizoteka kwa adui. Kwenye vita ukitekwa Cha kwanza ni kutoa Siri za adui
 
Ndo tunachokisema na kukitaka hiko, Sasa kwanini nyie nyumbu wa lissu Kila siku mnahangaika na mama?!!!
Hahaha huyu mamaA ndiye chura kiziwi au unamuongelea yupi?

Wewe ndiye A au mtoto wa mama mdogo?
 
Kamshangae MAMA Yako amabaye kesho anaenda kuchukua fomu wakati kaonywa kwa kutumia code kuwa asiende 🤔🤔🤔🤔😄😄😄
 
Mtu yoyote anayefanya kazi za serikali au vitengo nyeti duniani huwezi kusikia anaongea mambo nje nakutaja watu. Huyu mtu hawezi kuaminika ndani ya siasa hata nje ya siasa. naongea wazi akiwa na chuki na kina Nchimbi. Hakuna watu wameuwa vyama vya upinzani kama wakati yeye mwenezi wa CCM, Yes Mama Samia kamtia ndani Lisu lakini boss wake alipiga na risasi kabisa amalize.
 
Gwajima kwani ni nani??

Kanisa lake limefutwa kwa mujibu wa sheria ukitaka aachwe aendelee kuleta chuki na kuitukana serikali kwa kutumia podium ya kanisa ili iweje..??
Mkuu,

Thibitisha hapa kuwa Gwajima ameitukana serikali.

Weka ushahidi wa matusi yake,vinginevyo wewe na wenzio mnaosimama upande wa dhuruma dhidi ya watanzania mpo upande wa shetani.

Usipoleta ushahidi ni utakuwa umefanya ad hominem fallacy (kumshambulia Gwajima badala ya kujibu hoja zake)
 


Nani kati ya viongozi ambao wapo sasa hivi hawakuwepo awamu ya tano?
 
Mlitegemea angekuwa dhaifu kwa kuwa ni mwanamke? Rais ni Rais we bwege uliojaa kinyesi kichwani. Serikali hakuna wa kuweza kuichezea duniani kote, Kenya si mlisema sijui GenZ wako wapi sasa. Huwezi chezea masharubu ya serikali utapotezwa kwa maslahi ya wengi hiyo ni kawaida. Eti mara tutafanya nchi isitawalike mara tutakinukisha, wapi utanuka wewe
 
Kusini naijua kabla ya wewe kuzaliwa, kitendo alichofanya Samia mwaka Jana cha kutangaza bei ya korosho Tsh 4500/= na baadae wakaja kununua Kwa bei ya Tsh 2300 unawezaje kumsifia?
Hao CCM wenzio hakuna kitu wamefanya kusini Toka Uhuru ni mpumbavu pekeyake anaweza kuwakubali CCM hasa Kwa watu wa kusini.

Leo barabara yote ya kusini imekufa na inapitika Kwa taabu nashangaa wewe unawakumbatia CCM..... Zao la korosho limekufa kutokana CCM yako alafu Leo unakuja kuwasifia?
Kusini hakuna mjinga wewe umetokea wapi?
 
Hayo mauaji, utekaji, uchawa ni zao la utawala wa Magufuli.
Hii sasa ni reflection tu , just kama vile jua linazama linawaka mara ya mwisho.
Ila ushenzi wote ulianzishwa na kutukuzwa awamu ya 5 kipindi huyo Polepole akiwa mpiga zeze mkuu
MBONA akuji uzuru, Kama kweli ni mzalendo, awamu ya Tano?


Kwishaaaaa
 
Polepole na kikundi chake walipanga mwezi huu wa 8 ndio waanze fujo zao ila Mama naye akapiga goal la mapema jamaa kushtuka goal limeingia sasa wanajitahidi kuangalia VAR.
 
Nimempenda Samia ameonesha she is strong president nchi imetulia walitaka kumjaribu hao wanaharamu. Ningeshangaa na kusikitika angemwachia Gwajima, hv kwa aliyokuwa anayafanya yule tapeli leo tungekuwa wapi. Mtu anamtukana Rais wetu? Amiri jeshi mkuu wetu? Nchi ya wapi hiyo? Tafuteni nchi ya namna hiyo mkaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…