Nina mashaka na akili za Watanzania wanaomshabikia Polepole

Polepole anasema hayo yote na samia anausika maana ndo alikuwa msaidizi wa raisi kwa muda ule
 
Uko sahihi, kumbe sasa unaumia nini watu wakimsikiliza na kumsapoti POLEPOLE? Wewe kama unaona samia ni jembe, usitake wengine wasitoe mawazo yao juu yake kama wewe unavotoa maoni yako! Kila mtu aishi anachokiona ni sahihi kwake.
Kama una mawazo ya kipumbavu lazima uambiwe
 
Sawa dr. Wa ma sami! Tunawasubiri na huyo roboti wenu mnaemtafutia urais kwa nguvu! Aibu kubwa sana hii, eti anashindana na salumu na mpina! Hah hah hah nacheka kwa dharau!
 
Kama una mawazo ya kipumbavu lazima uambiwe
Ila wewe ndio una mawazo yenye akili sio? Usinipigie makelele hapa kama redio iliopoteza frequency! Kama unajiona una akili usingekua unahangaika humu kutetea upumbavu unaofanywa waziwazi na washenzi wenzio!
 
Kama una matatizo ya akili lazima uambiwe
 
Uwe unatabia ya kusoma kwanza. Wapi amemshabikia mtu. Kwanini mnapenda kukurupuka? Yani nyie kila wimbo unaopigwa mnacheza kama misukule yani.
 
Uwe unatabia ya kusoma kwanza. Wapi amemshabikia mtu. Kwanini mnapenda kukurupuka? Yani nyie kila wimbo unaopigwa mnacheza kama misukule yani.
Umefatilia tulikoanzia mzee? Au umbea unakuwasha kama upele!
 
Cha msingi hapa ni katiba mpya tu hakuna lingine mambo ya ccm ni yaleyale hata wakimwaga oil kiasi gani
naunga mkono hoja
,reforms zinatakiwa zifanyike za ki taifa sio kubadilisha jina la mgombea pekee wakati mfumo wa wahuni ni uleule ,hata ukibadilisha jina la mgombea bado atamezwa na mfumo uleule wa wahuni .Hata asipomezwa na mfumo kama akawa kinyume na mfumo bado atakuwa na maadui wengi wa ndani na nje ambapo usalama wake unakuwa hatarini na anakuwa anahujumiwa kutoka ndani na nje.

Muarobaini pekee SULUHISHO LA KUDUMU ni KATIBA MPYA ,reforms za tume ya uchaguzi.
MABADILIKO YA KUDUMU ya katiba mpya na reforms za uchaguzi,ambazo zitatua changamoto zote hata akija kiongozi wa aina gani atabanwa na katiba ,
 
Sawa dr. Wa ma sami! Tunawasubiri na huyo roboti wenu mnaemtafutia urais kwa nguvu! Aibu kubwa sana hii, eti anashindana na salumu na mpina! Hah hah hah nacheka kwa dharau!
Yaani nyie mafala kweli na polepole wenu. Mtajua kuwa hamjui maanina; we Cheka tu vile vicheko vyenu mnavyovitoa mkiwa ndani ya vijora.
 
Mmmh! Na mm nimepatwa na mashaka na akili yako aise.
 
Yaani nyie mafala kweli na polepole wenu. Mtajua kuwa hamjui maanina; we Cheka tu vile vicheko vyenu mnavyovitoa mkiwa ndani ya vijora.
Oyaa kama nakuumiza vaa uende zako! Sio lazima, maana unavozidi kubana utachubuka! Sepaaaaaaaaa
 
Wewe ni mzima kwani? Thibitisha kama uko sawa! Maana unawezajihisi ni mzima kumbe mgonjwa na tiba hujaanza!
Hata kama una kilema cha ubongo, usijianike
 
Usihangaike na watu ambao wanaishia Kwa matukio ya leo bila kukumbuka walikotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…