Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Hafungishi ndoa?Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.
1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Ana kanisa lakinu1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
Hana kibali cha serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa nini haoi?Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.
1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Kwani yeye hilo ni kanisa au huduma ? Ndoa si kila mtu anafungisha mpaka uwe na kibali cha serikali, labda yeye hataki, maana ukiwafungusha watu na wakigombana huko lazima uwe msururishi wao [emoji23]Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.
1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Sio mtumishi wa Mungu. 🤣Jibu simple tuHabari.
Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.
1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Yule Hana kanisa ajasaliwa kama kanisa sawa na Alivyo Mwalimu Mwakasege,nk.Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.
1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Ooh kumbe ndoa zenu si amri ya mungu ni kibali cha serikali ndo mnatii1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
Hana kibali cha serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Anawekeza ,Hapo ni sehemu ya kutafutia mtajiHabari.
Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.
1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Huko biblia ndio mlivyo ambiwa mpk mpate kibali serikalini?Kwani yeye hilo ni kanisa au huduma ? Ndoa si kila mtu anafungisha mpaka uwe na kibali serikali labda yeye hataki, maana ukiwafungusha watu na wakigombana huko lazima uwe msururishi wao [emoji23]
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hakuna Mtume MnyakyusaMwamposa siyo Mchungaji, ni mtume. Hivyo hana mamlaka ya kufungisha ndoa wala ibada za mazishi
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Umemaliza aliekuelewa atajiongeza,hao mitume waumini wao 80% ni wanawake...halafu kila siku wanaoanguka na mapepo ni maskiniHakuna Mtume Mnyakyusa
Mwamposa Sio Mtume Ni tapeli Wa Kiazi Kipya.
Kwa nini asiende Muhimbili Kuombea Vilema Watembee,Vipofu Waone
Ndo ni mkataba... Amri za Mungu zinaishia makanisani na misikitiniOoh kumbe ndoa zenu si amri ya mungu ni kibali cha serikali ndo mnatii
Muhammad na Yesu walienda muhimbili?Hakuna Mtume Mnyakyusa
Mwamposa Sio Mtume Ni tapeli Wa Kiazi Kipya.
Kwa nini asiende Muhimbili Kuombea Vilema Watembee,Vipofu Waone
Acha wivu na wewe anzisha kanisa lako. Anachokipata anakistahili.Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.
1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Sio kila Shehe a naruhusiwa kufungisha ndoa, ili ufungishe ndoa lazima usajiliwe ili cheti kiwe halali. Kama uko Bakwata unafundisha ndoa kwa kibali na mamlaka ya Bakwata. ElewaHuko biblia ndio mlivyo ambiwa mpk mpate kibali serikalini?