Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.

1.Hafungishi ndoa ?

2.Hafanyi ibada ya mazishi ?

3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Kwani yeye hilo ni kanisa au huduma ? Ndoa si kila mtu anafungisha mpaka uwe na kibali cha serikali, labda yeye hataki, maana ukiwafungusha watu na wakigombana huko lazima uwe msururishi wao [emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.

1.Hafungishi ndoa ?

2.Hafanyi ibada ya mazishi ?

3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Sio mtumishi wa Mungu. 🤣Jibu simple tu
 
Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.

1.Hafungishi ndoa ?

2.Hafanyi ibada ya mazishi ?

3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Yule Hana kanisa ajasaliwa kama kanisa sawa na Alivyo Mwalimu Mwakasege,nk.
Yeye Hana waumini Hana washirika yaani waumini toka dini na mbalimbali wakiwemo waislamu na wasio na dini.
Huduma yake amejikita kwenye vitu vya upako yaani maji,keki,chumvi na nk na Sio Yesu.
Pale watu wanapiga tuition huku wakiendelea na ibada walipotoka
 
Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.

1.Hafungishi ndoa ?

2.Hafanyi ibada ya mazishi ?

3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Anawekeza ,Hapo ni sehemu ya kutafutia mtaji
 
Kwani yeye hilo ni kanisa au huduma ? Ndoa si kila mtu anafungisha mpaka uwe na kibali serikali labda yeye hataki, maana ukiwafungusha watu na wakigombana huko lazima uwe msururishi wao [emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Huko biblia ndio mlivyo ambiwa mpk mpate kibali serikalini?
 
Back
Top Bottom