Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

Huko biblia ndio mlivyo ambiwa mpk mpate kibali serikalini?
Hivi hujui kama serikali huwekwa na Mungu? Au mkono wa Mungu unahusika? Sikia hizi taratiibu zote za kiserikali zimetokana na mfumo wa kidini unajua kitu ugatuzi wa madaraka ulianzia wapi! Kasome Bible yako vizuri!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.

1.Hafungishi ndoa ?

2.Hafanyi ibada ya mazishi ?

3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Anatumia ID gani humu tuone majibu yake.
 
Sio kila Shehe a naruhusiwa kufungisha ndoa, ili ufungishe ndoa lazima usajiliwe ili cheti kiwe halali. Kama uko Bakwata unafundisha ndoa kwa kibali na mamlaka ya Bakwata. Elewa
Tatizo ni kusomewa maandiko badala yakusoma mwenyewe na kuelewa ndiyo shida inaanzia hapo, kwahiyo hawezi kuelewa huyo!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Habari.

Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.

1.Hafungishi ndoa ?

2.Hafanyi ibada ya mazishi ?

3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Maswali haya ni kama shubiri kwa waabudu mashetani.
 
[emoji1787]Yesu na mwamposa ni sawa now duuu sawa

Mwamposa ni mtume yeye kazi yake kuhubiri injili na kuponyesha……. Yesu nimetolea mfano sababu na yeye hakuwahi kufungisha watu ndoa, sababu alijua mlivyo visebengo mngekuwa mnashinda kumpelekea kesi za ndoa zenu!
Hata kazi yake asingefanya, angeshinda anawasuluhisha nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna Mtume Mnyakyusa
Mwamposa Sio Mtume Ni tapeli Wa Kiazi Kipya.
Kwa nini asiende Muhimbili Kuombea Vilema Watembee,Vipofu Waone

Ulisikia wapi mitume kutembea mahospitalini🙄
Ungejifunza ni kwanini wale vipofu waliona, vilema wakatembea na wafu wakafufuka ingekusaidia sana kwenye imani yako
 
Mwamposa ni mtume yeye kazi yake kuhubiri injili na kuponyesha……. Yesu nimetolea mfano sababu na yeye hakuwahi kufungisha watu ndoa, sababu alijua mlivyo visebengo mngekuwa mnashinda kumpelekea kesi za ndoa zenu!
Hata kazi yake asingefanya, angeshinda anawasuluhisha nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So nani kampa mwamposa utume? Mbona Kuna watume wengi wanaosema wanaponyesha, unajuaje mwamposa ni mtume kweli? Kwa Nini Mungu muwezo yote mjua yote na mpenda wote ategemee binadamu kusambaza habari zake?
 
Ulisikia wapi mitume kutembea mahospitalini🙄
Ungejifunza ni kwanini wale vipofu waliona, vilema wakatembea na wafu wakafufuka ingekusaidia sana kwenye imani yako
🤣Hawawezi enda mahospitalini kwa sababu hospital sio sehemu za kuigiza
 
Kumbe hujaelewa hata nilichokuambia
Kwa taarifa yako tuu hata kwenye kundi mitume walikuwapo waliokua madaktari kabisa wa binadamu
Na utaratibu wa kupokea uponyaji unazingatia juhudi yako ya kumtafuta Mungu. Mfuate ukapone usitake uboss kwenye mambo ya Mungu maana yeye ndio boss wa maboss wote

MATHAYO 16:24-28
Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mtu yeyote akitaka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.

LUKA 5:18-19
Wakaja watu wamembeba mgonjwa aliyepooza kwenye mkeka. Wakajaribu kumwingiza ndani ili wamweke mbele ya Yesu.
Walipokuwa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu ya umati wa watu, wakapanda juu ya paa, wakaondoa baadhi ya matofali, wakamteremsha yule mgonjwa kwa mkeka wake hadi katikati ya ule umati pale mbele ya Yesu.
 
So nani kampa mwamposa utume? Mbona Kuna watume wengi wanaosema wanaponyesha, unajuaje mwamposa ni mtume kweli? Kwa Nini Mungu muwezo yote mjua yote na mpenda wote ategemee binadamu kusambaza habari zake?

Unataka ligi wewe, afu mimi kubishana na wapagani siwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe hujaelewa hata nilichokuambia
Kwa taarifa yako tuu hata kwenye kundi mitume walikuwapo waliokua madaktari kabisa wa binadamu
Na utaratibu wa kupokea uponyaji unazingatia juhudi yako ya kumtafuta Mungu. Mfuate ukapone usitake uboss kwenye mambo ya Mungu maana yeye ndio boss wa maboss wote

MATHAYO 16:24-28
Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mtu yeyote akitaka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.

LUKA 5:18-19
Wakaja watu wamembeba mgonjwa aliyepooza kwenye mkeka. Wakajaribu kumwingiza ndani ili wamweke mbele ya Yesu.
Walipokuwa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu ya umati wa watu, wakapanda juu ya paa, wakaondoa baadhi ya matofali, wakamteremsha yule mgonjwa kwa mkeka wake hadi katikati ya ule umati pale mbele ya Yesu.
Usinipe story za wayahudi. Utafiti wa effectiveness ya prayer unaonyesha hamna tofauti ya mtu kuombewa na kutokuombewa wote Wana same chance ya kupona, 🤣we Unadhani uponyaji ungekuwa real si madaktari wasingesoma miaka 5 waajiriwe mahospitalini wangesoma Biblia wavae Suti wajiite mitume wajaze makanisa kwa kuiba sadaka za wanawake na watoto maskini na wasio na elimu
 
Unataka ligi wewe, afu mimi kubishana na wapagani siwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣Pagan means dini ambazo zio zinazojulikana...it means ukiwa mhindu mbongo unajulikana mpagani. Jifunze kiswahili
 
[emoji1787]Pagan means dini ambazo zio zinazojulikana...it means ukiwa mhindu mbongo unajulikana mpagani. Jifunze kiswahili

Unapenda ligi khaaaaaaaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Basi na wewe kuwa Mwamposa usinikaushe kizazi bana wee
 
Back
Top Bottom