Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia yasema heshimuni mamlaka zilizo chini ya juaOoh kumbe ndoa zenu si amri ya mungu ni kibali cha serikali ndo mnatii
Pedophile Muhammad alifuatwa na kipofu akamtoa nduki , akatunga na Aya 😂🤣🤣😂Hakuna Mtume Mnyakyusa
Mwamposa Sio Mtume Ni tapeli Wa Kiazi Kipya.
Kwa nini asiende Muhimbili Kuombea Vilema Watembee,Vipofu Waone
Hivi hujui kama serikali huwekwa na Mungu? Au mkono wa Mungu unahusika? Sikia hizi taratiibu zote za kiserikali zimetokana na mfumo wa kidini unajua kitu ugatuzi wa madaraka ulianzia wapi! Kasome Bible yako vizuri!Huko biblia ndio mlivyo ambiwa mpk mpate kibali serikalini?
Anatumia ID gani humu tuone majibu yake.Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.
1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Afadhali umemjibu!Muhammad na Yesu walienda muhimbili?
Tatizo ni kusomewa maandiko badala yakusoma mwenyewe na kuelewa ndiyo shida inaanzia hapo, kwahiyo hawezi kuelewa huyo!Sio kila Shehe a naruhusiwa kufungisha ndoa, ili ufungishe ndoa lazima usajiliwe ili cheti kiwe halali. Kama uko Bakwata unafundisha ndoa kwa kibali na mamlaka ya Bakwata. Elewa
Maswali haya ni kama shubiri kwa waabudu mashetani.Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu boniface mwamposa.
1.Hafungishi ndoa ?
2.Hafanyi ibada ya mazishi ?
3.Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha .?
Nani anaabudu mashetaniMaswali haya ni kama shubiri kwa waabudu mashetani.
🤣Yesu na mwamposa ni sawa now duuu sawaYesu aliwahi kufungisha ndoa? Mwacheni Mwamposa afanye kazi ya Mungu.
Kwanza ndoa zenyewe hamdumu nazo kusumbua wafungishaji tu!!!
[emoji1787]Yesu na mwamposa ni sawa now duuu sawa
Hakuna Mtume Mnyakyusa
Mwamposa Sio Mtume Ni tapeli Wa Kiazi Kipya.
Kwa nini asiende Muhimbili Kuombea Vilema Watembee,Vipofu Waone
So nani kampa mwamposa utume? Mbona Kuna watume wengi wanaosema wanaponyesha, unajuaje mwamposa ni mtume kweli? Kwa Nini Mungu muwezo yote mjua yote na mpenda wote ategemee binadamu kusambaza habari zake?Mwamposa ni mtume yeye kazi yake kuhubiri injili na kuponyesha……. Yesu nimetolea mfano sababu na yeye hakuwahi kufungisha watu ndoa, sababu alijua mlivyo visebengo mngekuwa mnashinda kumpelekea kesi za ndoa zenu!
Hata kazi yake asingefanya, angeshinda anawasuluhisha nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣Hawawezi enda mahospitalini kwa sababu hospital sio sehemu za kuigizaUlisikia wapi mitume kutembea mahospitalini🙄
Ungejifunza ni kwanini wale vipofu waliona, vilema wakatembea na wafu wakafufuka ingekusaidia sana kwenye imani yako
🤣Hawawezi enda mahospitalini kwa sababu hospital sio sehemu za kuigiza
So nani kampa mwamposa utume? Mbona Kuna watume wengi wanaosema wanaponyesha, unajuaje mwamposa ni mtume kweli? Kwa Nini Mungu muwezo yote mjua yote na mpenda wote ategemee binadamu kusambaza habari zake?
Usinipe story za wayahudi. Utafiti wa effectiveness ya prayer unaonyesha hamna tofauti ya mtu kuombewa na kutokuombewa wote Wana same chance ya kupona, 🤣we Unadhani uponyaji ungekuwa real si madaktari wasingesoma miaka 5 waajiriwe mahospitalini wangesoma Biblia wavae Suti wajiite mitume wajaze makanisa kwa kuiba sadaka za wanawake na watoto maskini na wasio na elimuKumbe hujaelewa hata nilichokuambia
Kwa taarifa yako tuu hata kwenye kundi mitume walikuwapo waliokua madaktari kabisa wa binadamu
Na utaratibu wa kupokea uponyaji unazingatia juhudi yako ya kumtafuta Mungu. Mfuate ukapone usitake uboss kwenye mambo ya Mungu maana yeye ndio boss wa maboss wote
MATHAYO 16:24-28
Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mtu yeyote akitaka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
LUKA 5:18-19
Wakaja watu wamembeba mgonjwa aliyepooza kwenye mkeka. Wakajaribu kumwingiza ndani ili wamweke mbele ya Yesu.
Walipokuwa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu ya umati wa watu, wakapanda juu ya paa, wakaondoa baadhi ya matofali, wakamteremsha yule mgonjwa kwa mkeka wake hadi katikati ya ule umati pale mbele ya Yesu.
🤣Pagan means dini ambazo zio zinazojulikana...it means ukiwa mhindu mbongo unajulikana mpagani. Jifunze kiswahiliUnataka ligi wewe, afu mimi kubishana na wapagani siwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787]Pagan means dini ambazo zio zinazojulikana...it means ukiwa mhindu mbongo unajulikana mpagani. Jifunze kiswahili