Blaszczykowski
JF-Expert Member
- Dec 20, 2022
- 339
- 1,164
Wala sio ugonjwa wa akili vitu halisi ila kama ujawah kuviona lazima useme ivyoUgonjwa wa akili
He already pass awayStress hizo, Baba yako alikuwa wapi kipindi hicho?
Majobless?? Tena Sina Jua kali Nina Maisha tu ya kawaida .Kwamba liliongea kiingereza pure kabisa na hakuna aliekua anajua kiingereza kwenu, sa ulikuaje kama ni pure?
Ifike kipindi serikali ituonee huruma ma jobless, jua ni kali sana.
Stress za upweke wakati mwingine nazo huchangia, mrundikano wa mamboHe already pass away
Stress ndio upandisha mashetani ?Stress za upweke wakati mwingine nazo huchangia, mrundikano wa mambo
Ngoja nikwambie mrundikano wa vitu huleta hali hiyo pia, kwani nikuulize alipona na nini? Nenda kanisani kaongee na Padre au Mchungaji utapata jibu zuri zaidiStress ndio upandisha mashetani ?
Hayo madude yapo kabisa ila yana ukakasi ,kuna mazingira unayatengenezea ..Nimeongea nayo sana na pia karibia mara zote ni wanawake .Mkuu Blaszczykowski pole sana kwa bi mkubwa wako ila nasikitika kukuambia kuwa bi mkubwa anasumbuliwq na changamoto ya afya ya akili ambayo ni maradhi.
Huenda akawa na Dissociative Identity Disorder(DID) au Multiple Personality Disorder au aina ingine ya changamoto ya afya ya akili inayohusiana na identity yake.
Kama upo Dar hapa hospitali ya Taifa Muhimbili Kuna wataalamu wazuri mpeleke bi mkubwa atasaidiwa.
Unathibitishaje ni mashetani na si kitu kingine chochote ambacho labda hujakielewa vizuri tu?Hello wapendwa .kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza apo juu .kipindi nilivyokuwa mdogo miaka 7 niliona kwa macho yangu bi mkubwa akipandisha mashetani na kuongea lugha ambayo nilishindw kuielewa (kiarabu ) alieweza kuongea nae alikuwa mama mkubwa na yeye lazima apandishe mashetani ndio waweze kuelewana vizuri .Kuna siku Moja alipandisha shetani la kizungu na Kwanza kuongea kingereza kabisa pure shida ilikuja akuna aliekuwa anajua anachozungumza kutokana Familia zetu akuna aliekuwa anajua kingereza ili kumtuliza wanampa glass mbili za pombe kali baada ya dk 15 Hali Inatulia na kuendelea na kazi zake za nyumbani (haonekani akinuka pombe wala kulewa ) hiyo Hali ilitokea Mara chache sana .
ILA
Nilivyofikisha miaka 30 bi mkubwa akaniltetea mdogo wangu wakike tukawa wawili tu
Tokea kipindi icho bi mkubwa akuwahi pandisha mashetani yoyote Yale
Sasa nishakuwa mkubwa najitambua nataka nijaribu niongee na Hao mashetani walikuwa na siri gani walitaka nini katika Familia yetu sana sana yule shetani aliekuwa anaongea kingereza nijue alitaka nini alitokea wapi na kwanini amekuwa kimya zaidi ya miaka
23
Sijui mama atalichukuliaje hili swala sijui atanijibu Nini nataka apandishe nipate majibu kablasijaondoka apa duniani ..
Ugonjwa wa akili mtu aongee kiingereza wakati hakukisoma!?Ugonjwa wa akili