Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi.

1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi mpka wanaomtuma anafahamu walipo!Swali hao vijana wanaoandikishwa wanalipwa sh ngapi?Lengo na hoja za yeye kupeleka vijana wakaandamane anataka nini wakati anaona madhara ya maandamano ya October 29?

2.Waziri wa mambo ya ndani amefungia vyama vya siasa kufanya mikutano kwa muda pamoja na kuweka sheria nyingine mfano sehemu za starehe kufuatiliwa ,sehemu za kulala kusajiliwa kwa nida nk huku akisema tahadhari ya kulinda amani katika kipindi hiki je hiki kipindi ni kipindi gani?kuna tishio gani ambalo limesababisha hatua hizo?

3.Watu ambao hawapendi nchi yetu hawa maadui wetu wa kila siku kwanini kila siku Tanzania na wakati Africa kuna nchi nyingi au ni wivu wa rasilimali?

Hata hivyo hayo maswali tu ambayo nakua najiuliza sipati mawajabu ndio maana meona nije kuomba Maajawabu.
 
Hakuna na hauwezi kupata majibu ya unaoudai ni "usomi"!Hizo zote zilizoainishwa na hao viongozi kharamu waliojiweka madarakani ni uongo mtupu wa mchana jua linawaka soko la Kijiji.Puuza ujingaujinga huo na wajinga wenyewe!Usipoteze muda na chaneli ya vichekesho.
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA
 
Back
Top Bottom