Nina matiti madogo nisipovaa sidiria yanachongoka, nikivaa inaniumiza nifanyaje?

Katiba Mpya itasolve hii changamoto yako
 
Very very simple, nunue bikini mbili(2) kisha vaa kwa kila titi [emoji23][emoji23]
 
Unataka tumushauri Nini .mpenz..
Naona hapo unatatizo la kukosa wa kukunyonya ili yasiume
 
Vaa sidiria size yako,
Wanawake wengi Africa hawajui size sahii za sidiria kwa ajili ya matiti yao
 
chuchu ndogo zikilala bhna zinakuwa kama chura alie kufa kwa njaa 🤣🤣🤣🤣..ila weng weny maziwa madogo wanayo hips..
 
MATANGAZO yanauza sana yakiambatana na kapicha ka bidhaa tajwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…