Nina maziwa madogo nisipovaa sidilia yanachongoka kwasababu hayajalala kwaiy chuchu zinasimama nikivaa ivo najikuta tu sipo comfortable nikivaa sidilia kifua kinauma na mgongo kwani naiforce tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu.
Nina miaka ishirini na kitu Nina maziwa as if ndo yanaanza kukua, sina raha na sidilia lakini nikijiachia naona kama nitasimangwa ha ha ha, nikivaa nguo fupi au suruali mama anakasirika sana lakini mdogo angu ana miaka ishiri na ivyo ivyo akivaa wala akasiriki sielewi na ata akivaa ya kubana wala hamsemi shughuli ipo kwangu sasa jer nikijiachia na vimaziwa vyangu kama vya mtoto dah Nina mtihani.