Nina maumbile madogo ya uume

Nina maumbile madogo ya uume

Sifa kubwa ya 'k' ni ku-tight. Kama sifa hii bado ipo kwa 'k' husika, hakuna cha size.
Pia, jibu ni kuwa haukuchagua mwenyewe, hivyo kufa na hiyo size.
 
Maumbile madogo ukilinagnisha na yanani???
Kiatu chako hakiwezi kukupwaya Ila kitakubana
Mwanamke akikuambia maumbile yako madogo au unakibamia jua huyo ni Malaya tu na anajaribu kukulinganisha na waliompitia tafuta saizi yako kijana
 
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.

Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.

Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.
Kama una elfu 15 ya ugali nakuelekeza dawa chapu maana sijala mpaka asubuh


Mahitaj ni vitunguu maji vitano vitungu swaumu 5 tangawiz ndiz asal mafuta ya cherehqn mafuta ya naz nyanya


0712505049 muamala usome nikuelekeze jins ya kuchanganya uwe na brenda
IMG-20231213-WA0002.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii dunia hii, haipo fea.

Wengine tunaogopa wanawake wafupi cuz huwa ni kulalamika tu tunawatoboa kizazi, mwingine anataka size kubwa.

Ningekugawia hata 1.6 inch nibaki na 6.5, sema ndio hivo haiwezekani.

na watu wembamba mlivojaliwa
 
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.

Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.

Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.

ndio shida ya kuangalia porn!!

porn wana tengeneza demand ya kuuza dawa zao za nguvu za kiume

We unaweza jilinganisha na wachina[emoji28][emoji23][emoji23]hujawaona wachina ww
 
Sisi kina mandonga wanawake pia wanatukimbia hawaeleweki wanataka nn
 
Mzee hatari sie wenye vibamia tunadharauliwa sana na hawa wanawake. Mwenzio nilienda mpaka mbeknyera huko kwa mganga nikuze kibamia changu lakini hamna lolote bado kipo vile vile.
Mzee tujikubali tuu imekula kwetu kwenye hiyo sector
Ndo ukweli mchungu,Ila haina budi maisha kusonga,ukweli ni kwamba hamna tiba wala cha mini,ni kukubaliana na hali ili upate amani ya moyo maisha yasonge!
 
Umeona kwa nani kuwa wanaume wenzio tuna mizigo kama punda?
Acha upuuzi ao uliokua nao ni malaya, na hiyo ndio njia wanayotumia kututoa wanaume kwenye reli.
Tafuta kazi ufanunadhan

Umeona kwa nani kuwa wanaume wenzio tuna mizigo kama punda?
Acha upuuzi ao uliokua nao ni malaya, na hiyo ndio njia wanayotumia kututoa wanaume kwenye reli.
Tafuta kazi ufanye.
Unadhani Huyu alieandika hapa hana kazi!?
 
Tumetumia sana mkuu, lakini mambo ni bila bila, mpaka na ile inayoitwa Bazouka Cream lakini hakuna kitu, kwa masai yule wa Malkia Nyuki Twitter tumeenda, tumeishia kuchanjiwa tu bila matokeo yoyote. Hakuna dawa ya kuongeza uume full stop
Of course hamna dawa , watu wanachukua ile hali ya desperation kama fursa ya kupiga hela!
 
Hamna kitu apo
Tallbata tafuta mafuta ya mzaituni MLS 10, - chupa 3.
👉Kitunguu swaumu robo kilo, Kisha vitwange mpaka vilainike.
👉Kaanga katika sufuria hayo mafuta na vitunguu swamu.
👉Mpaka vibadilike rangi, Kisha acha yapoe na uhifadhi katika chupa ndogo yenye mfuniko.
👉Kabla ya kuanza kutumia dawa, pima ukubwa na urefu was uume wako- ili ufahamu.
👉Utakuwa una uchua uume wako kwa maji ya uvugu vugu(ndani ya dk 15).
👉Kisha ndo una Chua uume kwa mafuta hayo, uliyo andaa.
👉Hakikisha haumwagii, maana ni hatari na haifai(Utakuwa mwanachama was nyetooz).
👉 Tumia wiki 2- 4 Natumai Utaona mabadiliko. 🙏
 
Back
Top Bottom