kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 2,000
- 3,352
Wewe si ndio wa story ya jeshini kule ulikuwa wa kike🤔Usijali haupo peke yako
Hata mimi hivyohivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si ndio wa story ya jeshini kule ulikuwa wa kike🤔Usijali haupo peke yako
Hata mimi hivyohivyo
We ephen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umekuwa mwanaume tena hahahhaahUsijali haupo peke yako
Hata mimi hivyohivyo
Unacheka 😀Unajua nimeangalia kwenye ruler hapa hizo cm8 😂😂😂😂😂🤭
Labda iliyopima ni oversize!Shida siyo ikisimama. Lakini nyuchi ya mwanamke si imeshapima na kumpatia majibu?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mmh! Kweli wewe hufai
Kama una elfu 15 ya ugali nakuelekeza dawa chapu maana sijala mpaka asubuhMimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.
Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.
Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.
Hii dunia hii, haipo fea.
Wengine tunaogopa wanawake wafupi cuz huwa ni kulalamika tu tunawatoboa kizazi, mwingine anataka size kubwa.
Ningekugawia hata 1.6 inch nibaki na 6.5, sema ndio hivo haiwezekani.
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.
Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.
Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.
Ni ishu serious kweli,, na ukweli ni kwamba hakuna tuba yoyote,ifundishe akili yako ikubali huo ukweli, kubaliana na hali, ishi maisha yako mwenyewe kuepusha dharau na fedheha!Ni ishu serious wazee wa mitishamba msaada wenu
Hela sio sululisho kwenye hili jambo,huyu mtoa mada hakutaka malaya kama angetaka Malaya angeenda walipo!Tafuta hela, hao wasichana wanaokutema na kukudharau watapanga foleni wao wenyewe.
Ndo ukweli mchungu,Ila haina budi maisha kusonga,ukweli ni kwamba hamna tiba wala cha mini,ni kukubaliana na hali ili upate amani ya moyo maisha yasonge!Mzee hatari sie wenye vibamia tunadharauliwa sana na hawa wanawake. Mwenzio nilienda mpaka mbeknyera huko kwa mganga nikuze kibamia changu lakini hamna lolote bado kipo vile vile.
Mzee tujikubali tuu imekula kwetu kwenye hiyo sector
Hela ni hela, na maumbile ya binadamu yanabaki palepale usidanganyikeNakazia hamna uume mdogo mbele ya maokoto.
Ni hali ya maisha tu.Usijali haupo peke yako
Hata mimi hivyohivyo
Umeona kwa nani kuwa wanaume wenzio tuna mizigo kama punda?
Acha upuuzi ao uliokua nao ni malaya, na hiyo ndio njia wanayotumia kututoa wanaume kwenye reli.
Tafuta kazi ufanunadhan
Unadhani Huyu alieandika hapa hana kazi!?Umeona kwa nani kuwa wanaume wenzio tuna mizigo kama punda?
Acha upuuzi ao uliokua nao ni malaya, na hiyo ndio njia wanayotumia kututoa wanaume kwenye reli.
Tafuta kazi ufanye.
Of course hamna dawa , watu wanachukua ile hali ya desperation kama fursa ya kupiga hela!Tumetumia sana mkuu, lakini mambo ni bila bila, mpaka na ile inayoitwa Bazouka Cream lakini hakuna kitu, kwa masai yule wa Malkia Nyuki Twitter tumeenda, tumeishia kuchanjiwa tu bila matokeo yoyote. Hakuna dawa ya kuongeza uume full stop
Tallbata tafuta mafuta ya mzaituni MLS 10, - chupa 3.
👉Kitunguu swaumu robo kilo, Kisha vitwange mpaka vilainike.
👉Kaanga katika sufuria hayo mafuta na vitunguu swamu.
👉Mpaka vibadilike rangi, Kisha acha yapoe na uhifadhi katika chupa ndogo yenye mfuniko.
👉Kabla ya kuanza kutumia dawa, pima ukubwa na urefu was uume wako- ili ufahamu.
👉Utakuwa una uchua uume wako kwa maji ya uvugu vugu(ndani ya dk 15).
👉Kisha ndo una Chua uume kwa mafuta hayo, uliyo andaa.
👉Hakikisha haumwagii, maana ni hatari na haifai(Utakuwa mwanachama was nyetooz).
👉 Tumia wiki 2- 4 Natumai Utaona mabadiliko. 🙏