Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Wakati unaenda kuutafuta mgogoro huo ulimhusisha nani? Na iweje umeburudika mwenyewe huko,af shida ulete hapa. Si uliyataka mwenyewe?
Ndiyo shida ya JF watoto sijui mnafata Nini huku. Pumbavu sana!
 
Ndiyo maana watu wanawashauri muoe wanawake wasio na kaz ili muwadhibiti mtakavyo....sasa wewe mwanamke anatumia pesa zake tayari unataka ziwe zako....aisee kwa manzi wa kibongo ndoa lazima ikushinde
Ndiyo maana nakupenda wewe jobless wangu
 

Mambo ya financial yasikuumize sana bro, nilijua amekucheat kumbe ishu ni kwamba mambo ya pesa yake acha awe na uhuru na pesa yake, vinginevyo naona mnaenda kuachana kisa fedha

Ukitaka ugomvi ulizia matumizi na fedha ya mwanamke hata kama unafanya kila kitu wewe, pambana mzee acha kuwa na moyo soft hivyo,
 
Kwa sababu wewe unaona ambacho yeye haoni...wewe tulia Tu ...subiri mda ufike ajifunze mwenyewe.

Nenda nae taratibu...ukifika wakati anagombea nyumba na ndugu zake ndo umwambie nilikuonya Sana unaona?

Kwa sasa subiri Tu mda utatoa majibu
Yah watu hujifunza zaidi kwa makosa kwa kivitendo na sio kwa nadharia
 
Umeongea kwa uchungu sana pole sana, Mungu wetu ni Mungu wa haki, nimependa ulivyo postive
 
Not easy as you suggested! Divorce is something very complex, it has some ambiguities that no one want it
 
I can't imagine kuishi na mtoto wa mtu for the rest of my life, hell NO. Kwa akili zangu ninavyoziona nikioa sidhani kama ndoa yangu itamaliza mwaka.
ILa mkuu si amepeleka hela yake?? Na huo mkopo kama ataulipa yeye mwenyewe hakuna tatizo.
Ndoa ni uvumilivu ukisikia neno uvumilivu ujue kuna mateso ya aina yote[emoji2]

Only committed wanachagua kuingia
 
Umemzalia watoto wawili bado unataka kulaumu kwamba umepata hasara kusomesha mchumba..

Halafu kama ni pesa aliyoipata kazini kwake achana nayo komaa mwanaume tekeleza majukumu Yako kupitia kipato chako maana ndiye unawajibu wa huo mzigo
 
Mke wako akiwa na "financial freedom" regardless umetemtengenezea mazingira au umemkuta hivyo .... lower your voice.
Kwamba amuabudu mke wake kisa ana pesa this is rubbish, mwanaume unakosaje sauti ndani ya familia yako kisa mwanamke amekuzidi kwa pesa, struggle kuwa nazo zaidi yake au kuweka misimamo yako zaidi atakuheshimu tu
 
Kama anajenga kwa pesa yake ni sawa,huo mkopo atalipa yeye..wewe pesa yako jenga hiyo yako,ingekua ni mimi ningemwacha ajenge kiroho safi
Pesa yake? Unamaanisha nini?
Hiyo mikopo ya Milioni 27 & milioni 20 mumewe anahusika moja kwa moja hivyo ni lazima ashirikishwe.
Kimsingi hiyo hela lazima wakubaliane kabla ya kukopa na matumizi yake.....
Ngoja mkeo ashindwe kulipa hiyo mikopo ndio utajua hujui....
Ukijifanya mpuuzi wa kutofuatilia mienendo ya mikopo ya mkeo, jua tu huna tofauti na Mangungo wa Msovero aliyeuziwa mbuzi kwenye gunia....
Mwaka jana tu jirani yangu karibia afe kwa presha; Katoka zake kwenye mihangaiko kakutana na bango kubwa nje ya nyumbani yake; Nyumba hii inauzwa!!! kumbe mkewe alikopa....NMB walitaka kufanya yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…