Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Sehemu ya 2.

Pesa ya ujenzi imekata mamilioni yamekwisha kazi bado hata hatua ya usafi haijafikia robo. Hapa naamisha baada ya kupandisha kuta zote, gebo kuezeka, plasta nje na ndani, kujaza vifusi, kupiga floor(rough) blundering, zungushia fishaboard nyumba nzima mwisho skimming ndani hapo ndio kazi imeishia, madirisha bado ikiwa ni pamoja na milango.

Wakuu, haya mambo ni ile inaitwa tumia haina mwenyewe, wajenzi na wasimamizi hapo hawana maumivu ya matumizi ya pesa. Kias hiki cha pesa ni kikubwa sana. Ramani ya nyumba ni master 1, nyumba vingine vitatu vya kawaida, stoo, public toilet, jiko na stud room, hii nyumba ni ya kawaida.

Ilifikia hatua ndani hakuna sh mia mpaka niingie mfukoni. Okay kama mwanaume ni wajibu wangu, lakini ni nani amesema mwanamke asisaidie? Haya maneno kwenye komenti mbalimbali siyaafiki ukiwa mwanaume ni lazima usimamie kila kitu, style ya maisha yake, vaa yake, mashoga zake, nk nk. Kila pale inapobidi, vinginevo sio ndoa hiyo.

Kwa sasa utaratibu umegeuka, ni lazima kutii. Upikaji, muda wa kulala, kuamka, kutoka, kurudi nyumbani, ratiba za watoto, kuoga, uvaaji, ulaji, content za menu. Yaani kiufupi nyumba ina ratiba mpya na mamlaka.

Miaka 5 iliyopita wakuu, kama mwanaume nilijiona mume. Hata baada ya tunda mwenzio anasema asante. Miaka Michache ya ndoa nilipata tunda kwa shida njia ilikuwa ndogo(virgin), nilipata shida na yeye akilalamika kuumia sana. niliamua miaka hii kuepukana na michepuko. Na kwa sisi wanaume hatupendi vilivyokufa, tunapenda rough sex. Na ndio maana tunapenda mwanamke akikataa kataa au akikupa kwa kumlazimisha. Kwa hili namshukuru Mungu, nilikata utepe mwenyewe.

Nimeresha hali ya hewa na mashart yanafatwa, anatii japo naona kuna ukiburi upo bado,.... zamani nilitegemea maneno kama nisamehe mume wangu. Hiyo kitu sasa hiv hakuna. Kwa kuwa ndio nimesha komaa nimejiwazia kujishusha, niwe down, lkn sijajua madhara yake yatakuwaje najua kuna madhara makubwa kwenye ndoa ila yatanikosti, nimeamua nijishushe kwa tahadhari kubwa.

Hii ni mara yangu ya kwanza naona nina mlima mrefu sana kuupanda. Kuna sababu nyingi za mwenza wangu kujenga tabia hii. Lazima nikubali, kuchokana kupo, kuupeleka moto sina hakika kama hii ni factor japo nina midundo minene japo haifikii ya wakati ule 26th 27th to 35 huko. Ila najua labda kama wapo wanaojilia.

Nimepata na wazo muhim sana wkt huu umri ukiwa bado niandike usia. Usia nitauandika na kwa umakini mkubwa sana.

Wkt mwingine tunafanya haya mambo kutokana na matukio. Kwa mwanamke kama huyu ambaye akili yake haijakomaa inatakiwa umakini sana. Anaonekana kuwakubali kaka zake, si ajabu siku wakilala kwangu sipp nyumbani wakalala karib na watoto wa kike. Ni hatari sana, na hili soma la hatari kwa mtoto wa kike nalifundisha sana kwa familia yangu.

Kwa ufupi nina sheria mpya nyumbani na kwa akili
kilichobaki uspokua makini watu wataskuma kete mbele ile kwako mazima.
 
Mwanaume ndiyo anatakiwa kuendeleza kwao na siyo mwanamke, Kaka zake ndiyo wanatakiwa kuendeleza kwao , yeye anatakiwa kuwatunza wazazi wake, Mtoto wa kike akiolewa anaondoka kwao na kujiunga kwenye familia ya Mwanaume we kwa akili yako huyo mke wake alifariki leo unafikiri watoto wake wata rithi sehemu ya mali za Mama yao alizo wekeza kwao?
Kama hamna mtoto wa kiume wazazi wafe? Nyi ndo mnawafanya wazazi wajute kuzaa watoto wa kike
 
Sehemu ya 1.

sina budi kuendeleza hii stori.

Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo tulioana, mimi nilikuwa nafanya kazi. Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri.

Maisha yaliendelea nikiwa kazini na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini. Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nili enjoy ndoa labda kwa sababu ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani. Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na watoto. Tuliishi vizuri kwa wastani wa miaka 5.

Baadae Mama yake akapitia wakati mgumu, tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubwa wakaona washirikiane wote. Kwa kuwa wife ndiye mwenye kipato kizuri akakopa Benki Milioni 27 lakini nyumba haikuisha.

Kero ikaanza sasa. Kila wakati anataka pesa ya Ujenzi kwa Mama Mkwe. Majuzi alipata bingo Ofisini kwao (Milioni 20) ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kidogo. Lahaulaaa!! Si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.

Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na Watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke Milioni 20 kwao? Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Ndani ni kuchuniana.

Najuta sana kuoa mwanamke huyu.



Sehemu ya 2
Tafuta pesa zako ndugu, acha KUTOLEA MACHO pesa ya mwanamke utakufa kwa magonjwa yasiyoambukiza. Sawa sawa?
 
Wewe unaGombana na mkeo kwa jambo la kijinga sana,unataka asijenge kwao!? Ishini na wake zenu kwa akili,mimi mke wangu juzi kakopa milioni 10 akaenda kukarabati nyumbani kwao ilikhali sisi tuko katika nyumba ya kupanga.
Pigia mstari neno ishini nao kwa akili.
hii inaweza kuwa sawa kama marejesho hayata adhiri Afya ya familia yako
 
Tafuta hela.
We unaumia na 20M aliyokopa serikalini, si na wewe ukakope benki au kwingineko ili kuwatengezea future watoto wenu?
Kumbuka, pesa zake ni zake. Pesa zako ni zenu.
Wanaume wengi wameaminishwa huu ujinga kwamba pesa ya mwanamke ni ya mwanamke, mwanamke atafute pesa ila mwanaume udhibiti hizo pesa, yeye kutumia pesa aliyoingiza yeye inatakiwa ruhusa aipate kutoka kwako, hiyo ndio ndoa.
 
Anakiuka yale maagano ya ndoa, imeandikwa kuna siku utaachana na wazazi na kuambatana na umpendae ili kuanzisha familia yako. Ni jukumu lako kujenga hiyo familia uliyoanzisha.
 
Back
Top Bottom