Komaa bhana, inawezekana kabisa.
Soma S.Chand XI&XII Physics. Solve examples tu na NCERT na MCERT. Kazi kwisha huwezi kosa hata C ya Physics plus practicals. Soma vitabu vya T.I.E , sasahivi elimu ya Advance imerahisishwa.
Biology pale kuna Biological sciences, komaa nayo.
Chemistry, sijui kama kuna mtu amemzidi Ngaiza, soma vitabu vyake.
General studies tafuta D tu .
Basic Applied Mathematics pale, hapa nakushauri tafuta wale wanaosoma PCM watakubrush.
Kila kitu kinawezekana ukiamua, narudia ukiamua. WAGMI.