Nina miaka 27, bado nina ndoto ya kuwa Daktari (Médical Doctor)

@DR Mambo AMP asipokusikia hapa,kiama kinamtafuta huyu dogo,afuatishe ushauri wako asipotezwe na wazee wa QT,advanc mwaka mmoja??dahhh,hatajutia mda wake akienda kusoma diploma in clinical medicine tena anaweza kua anapata mda wakufanya biashara zake kama alivyosimulia hapa.
 
@Tangantika watu mna nondo naishia kuwaheshimj,jamii forum kisiwa cha maarifa.
 
Nimekuwa topper kuanzia nursery mpk form 4, nikichukua vyeti vya outstanding performance katika kila level, sijawahi kuona elimu ngumu kabisa, level zote nimepiga A,A na div I respectively. Upande wa advance, Mambo ni mengi mno, concepts nyingi Sana kwa muda wa miaka miwili, Kwa shule yetu watu kupiga msuli Hadi kuzimia ni Jambo la kawaida...😅
 
Advanced PCB yamoto Sana ila watu hawawezi wakakupa maelezo ya uhalisia haswa huo ugumu upo wapi mpka uende kwanza ukajaribu hata miezi 4 tu, then uone mwenyew, me ingawa nilifaulu, Ila ni kwa mbinde sana...na ufaulu wenyewe 1.7 niliapply doctor of medicine, vyuo vyote vimenitema mpaka SUZA ya Zanzibar, niliapply vyuo vya serikali vyote vitatu, na vya private vitano, nikaja kupata chuo dirisha la mwisho, chuo chenyewe Kampala, ambapo Ada ya udaktati ni 7.2M kwa mwaka,ndio nipo hapo mpk leo maisha yanaenda hivohivo.. na mkopo wenyewe Sikupata 🙂.....

Nakushauri tu kwa hayo matokeo yako ya form4, na jinsi ulikaa miaka 10 nje ya shule, na unataka upige advanced PCB kwa mwaka mmoja, NENDA DIPLOMA.

Hata ukisoma advance kwa miaka minne bado hutotoboa kupata div1.3-6
 
Unajuaje kama hatatoboa?
 
Zamani nilidhani kuwa daktari ndo kutoboa maisha, but fikra hazikuwa sahihi. Madaktari wanamaisha ya kawaida sana, wanashindwa ata na Niffer wa Kojie.
 
Zamani nilidhani kuwa daktari ndo kutoboa maisha, but fikra hazikuwa sahihi. Madaktari wanamaisha ya kawaida sana, wanashindwa ata na Niffer wa Kojie.
Hii taaluma imebase katika utoaji huduma na sio maslahi, huu ni wito sio sehemu ya kupata maokoto 🙂
 
Zipambanie ndoto zako, lakini always uwe realistic. Maisha sio kuwa MD tu, kuna mambo mengi ya kufanya. Kuna baadhi ya MD hawataki waitwe madokta huku mtaani, maana wanajuta walichosoma. Kimbilia ndoto zako, utafanikiwa. Maisha mafupi sana.

 
Kwa tokeo la form 4, na amekaa muda mrefu bila kuwa academically active (almost miaka 10)...yeyote anayemshauri aende advance hamtakii mema na sio vizuri.. In addition anataka apige advance PCB kwa mwaka mmoja....
Umemwambi ukweli kwanz hata umri wake miaka 27 ni changamoto kumasta vitu vigumu kwa muda mfupi..maana huo ndo umri wa kujitafuta kijana.
 
Umemwambi ukweli kwanz hata umri wake miaka 27 ni changamoto kumasta vitu vigumu kwa muda mfupi..maana huo ndo umri wa kujitafuta kijana.
Watu wanasoma PhD wanamiaka 45 we unasemamea miaka 27?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…