Nasema hiviiiii. Hatobooooiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasema hiviiiii. Hatobooooiiiii
Itamchukua muda mrefuKwanini usianze certificate ukaenda diploma then ukatafuta ajira alafu unajiendeleza digrii?
Dreams nyingine ni illusion unapambana unakipata alaf unakuja kugundua ni scam...It's note about money mkuu, It's about dream
Shika adabu yakoZamani nilidhani madaktari wanamaisha mazuri sana pengine kuliko career zote...kumbe hapana, bora uwe katibu mwenezi wa ccm tu, huitaji kusoma sana but maslai yake utalisha ukoo mzima.
Miez mitano? Hivi unaijua pcb kweli?Kwa miaka 27 upo katika umri sahihi Sana , After six years utakuwa na 33 na kwa Huwezo wake Mungu utakuwa unaitwa doctor MD.
Fanya hivi sajiri mtihani kwa mwaka mmoja means ufanye mtihani mwakani mwezi wa tano then Kama upo dsm tembelea michikichini huko Utakutana na waalimu na wabobezi wa hizo Kazi za private Candidate .
Ukisoma kwa kumaanisha hata miezi mitano unatoboa vizuri tu so hapo nunua review zakutosha then vitabu na solve Sana Maswali Naamini hautokosa B tatu katika paper la six
Usisikilize maneno yenye negativity kuwa hautaweza au huwezi stay away with negativity
Oya mzazi kapige certificate na madplo tu mwisho utaendea degree , achana na PCB najua kwasasa una vimajukumu changanya na vile mkeo ni msumbufu nakuambia utakufa [emoji3]Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5
Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi Kuja Dar ku strugle
Nimepambana from 2014 up to this moment MUngu akanibariki kiuchumi kwa kiasi fulan [emoji120][emoji120][emoji120]
Sasa nahisi ni Muda mwafaka wa kutimiza ndoto yangu ya pili japo umri umenitupa mkono
Nimeona Bora nifanye mtihani wa form 5 kama private candidate (PC) kwa combination ya PCB mwakani.
1-Je, wapi naweza Pata center tulivu au mwalimu mzuri wa Physics, Chemistry na Biology ya F5&6?
2-Nitumie trick gani nimudu kusoma sababu ni miaka 10 imepita toka nimeachilia mbali masuala ya shule?
Kusoma sidhani age kama ni tatizo.Kikubwa ni malengo yako.Ukibahatika kuingia chuoni utakutana na watu wazima wenye age sawa au kuwazidi wazazi wako,wanapiga book.Timiza ndoto yako,age doesn't matter at all...!Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5
Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi Kuja Dar ku strugle
Nimepambana from 2014 up to this moment MUngu akanibariki kiuchumi kwa kiasi fulan [emoji120][emoji120][emoji120]
Sasa nahisi ni Muda mwafaka wa kutimiza ndoto yangu ya pili japo umri umenitupa mkono
Nimeona Bora nifanye mtihani wa form 5 kama private candidate (PC) kwa combination ya PCB mwakani.
1-Je, wapi naweza Pata center tulivu au mwalimu mzuri wa Physics, Chemistry na Biology ya F5&6?
2-Nitumie trick gani nimudu kusoma sababu ni miaka 10 imepita toka nimeachilia mbali masuala ya shule?
Ifikie hatua muwe mnaheshimu haya mawazo ya Watz, maana kuna muda yana uhalisia kuliko hayo mawazo yenu ambao sio WatzWatz bwana mpo too negative mnaamini katika umri na Muda bila kujua time and age is ILLUSION 5 months inatosha mtu ku-chase dream yake ya kufanya paper la six kwa Mtu aliyesoma shule Kama Feza au Kemebos anaelewa what I mean kuwa kufaulu na Muda ni vitu viwili tofauti
We are all strive for success
Kwa sasa kila mtu anafaulu,ukifeliumeyataka mwenyeweBro advance ya sasa sio ile ya miaka yetu. Usiogope.
Kwakuwa serikali imeweka miaka mowili kusoma na wewe umekariri bila kujua kusoma na kufaulu ni mbinuIfikie hatua muwe mnaheshimu haya mawazo ya Watz, maana kuna muda yana uhalisia kuliko hayo mawazo yenu ambao sio Watz
Wewe ambae sio mtz, hebu tupe hesabu kidogo ya kumpa moyo ndugu yetu hapo juu, kuwa katika hiyo miezi 5 ambayo anayo ya kusoma PCB na kupiga pepa
Atatumia muda gani kufundishwa Physics+kujisomea+kusolve, atatumia muda gani kufundishwa Chemistry+kujisomea+kusolve, atatumia muda gani kufundishwa Biology+kujisomea+kusolve
Na mbaya zaidi sio kwamba ni Fresh from O-level, amekaa kitaa zaidi ya miaka 7, it means kuna basics kibao tu kichwani hazipo tena kichwani
Hapo tufanye hatuongelei BAM na GS, tulet X kuwa jamaa hayo masomo anayajua na hatohitaji kufundishwa
Kabisa.Kwa sasa kila mtu anafaulu,ukifeliumeyataka mwenyewe
Kweli kusoma na kufaulu ni mbinu.Kwakuwa serikali imeweka miaka mowili kusoma na wewe umekariri bila kujua kusoma na kufaulu ni mbinu