MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Mwalimu wa phys na BAM nipo hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Lakin si umeelewa ndo maana umeweka sahihi. KiongoziTwition = tuition, kwaiy = kwa hiyo, kipengere = kipengele, mnjin = mjini. Ngoreme sec ilikuwa lazima mfeli. Mlikuwa vilaza na wewe kwa uandishi huu umetuwekea ushahidi usiotia shaka. Huna uhalali wa kusema huyo mhitimu wa UDSM yuko empty wakati wewe ni mhitimu kilaza wa Ngoreme sec.
SsKwa miaka 27 upo katika umri sahihi Sana , After six years utakuwa na 33 na kwa Huwezo wake Mungu utakuwa unaitwa doctor MD.
Fanya hivi sajiri mtihani kwa mwaka mmoja means ufanye mtihani mwakani mwezi wa tano then Kama upo dsm tembelea michikichini huko Utakutana na waalimu na wabobezi wa hizo Kazi za private Candidate .
Ukisoma kwa kumaanisha hata miezi mitano unatoboa vizuri tu so hapo nunua review zakutosha then vitabu na solve Sana Maswali Naamini hautokosa B tatu katika paper la six
Usisikilize maneno yenye negativity kuwa hautaweza au huwezi stay away with negativity
Na uwezo wa mtu unajidhihirisha tu.
Form 4 alipata Div 3. Unategemea Advance tena PCB ang'ooke?
Wanaaomshauri apige QT wanampoteza. Advance ule ni mziki mwingine.
Mimi ni Daktari kwa sasa, ila elimu ambayo ninaipa salute ni ya form 5&6. Miaka miwili yenye vitu vingi sana.
Mkuu, usidanganyike. Utachora 0. Miaka 10, ujiandae kwa miezi sita ufanye mtihani wa form 6? Usipoteze muda Mkuu.
Nini haswa kinakuvutia kwenye Udaktari? Kama ni kuhudumia watu wapone, hata Tabibu (CO) anafanya hivyo. Soma Diploma ya Clinical Medicine miaka mitatu.
OkNa uwezo wa mtu unajidhihirisha tu.

Upo sahihi mkuuHongera Sana mkuu sema hii kitu inahitaji Subira na utambuzi wa kiakili
Inabid nikutafte aisee nna plan 2024 nkapge pepa la sixMwalimu wa phys na BAM nipo hapa.
Afadhari = afadhali, lasaba = la saba. Kwa huu uandishi wako hata mimi ninakubaliana kuwa kuna shida kubwa kwenye elimu inayotolewa. Kama wewe unayeita wengine vilaza huku ukichanganya herufi kubwa na ndogo kwenye maandishi hali ikoje kwa hao unaowaita vilaza? Inatafakarisha.Sawa. Lakin si umeelewa ndo maana umeweka sahihi. Kiongozi
Ukweli utabaki pale Elimu ya Tz imeisha Thamani wahitimu wengi ni vilaza. Ndo maana unakuta mtu professor au ana degree lakin anaongea upumbavu afadhari hata mtoto Wa Lasaba wanawaita Machawa sijui na wewe umo
Mwanangu hata mimi nikirudi shule sisomi tena PCM.. Nitasoma vitu laini tu kwasababu hapa bongo wenye mpuga mrefu wengi hawajasoma vitu vigumu. Mtu kapita zake na HGE sasa hivi utakuta mhasibu mkubwa tu.Zamani nilidhani madaktari wanamaisha mazuri sana pengine kuliko career zote...kumbe hapana, bora uwe katibu mwenezi wa ccm tu, huitaji kusoma sana but maslai yake utalisha ukoo mzima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna ajiraaaa.....
Nakusanuaa labda kama kwenu kunahospital
Ukweli mchungu huu,maana siku hizi ukipata division 2 au hata division 1 ya point 9 wanakutema kutokana na utitiri wa watu wanaofauluNdugu jiandae vya kutosha PCB sio kazi ndogo! Unahitaji miaka sio chini ya 4 iliuweze kupata one ya advance
Yes kama hakuna mtu wa kumsimamia mahitaji yake na malipo ya ada ni kitendawili advance haitakiwi kuchanganya mambo ya kusoma na kutafuta hela in the same timeKwa umri wake hii ndo njia rahisi..hiyo nyingine ngumu sana kutoboa Form 5&6 inahitaji utulivu sana.
NAKAZIAKwa miaka 27 upo katika umri sahihi Sana , After six years utakuwa na 33 na kwa Huwezo wake Mungu utakuwa unaitwa doctor MD.
Fanya hivi sajiri mtihani kwa mwaka mmoja means ufanye mtihani mwakani mwezi wa tano then Kama upo dsm tembelea michikichini huko Utakutana na waalimu na wabobezi wa hizo Kazi za private Candidate .
Ukisoma kwa kumaanisha hata miezi mitano unatoboa vizuri tu so hapo nunua review zakutosha then vitabu na solve Sana Maswali Naamini hautokosa B tatu katika paper la six
Usisikilize maneno yenye negativity kuwa hautaweza au huwezi stay away with negativity
Sawa chawa.Afadhari = afadhali, lasaba = la saba. Kwa huu uandishi wako hata mimi ninakubaliana kuwa kuna shida kubwa kwenye elimu inayotolewa. Kama wewe unayeita wengine vilaza huku ukichanganya herufi kubwa na ndogo kwenye maandishi hali ikoje kwa hao unaowaita vilaza? Inatafakarisha.
Nasema hiviiiii. HatobooooiiiiiKwa miaka 27 upo katika umri sahihi Sana , After six years utakuwa na 33 na kwa Huwezo wake Mungu utakuwa unaitwa doctor MD.
Fanya hivi sajiri mtihani kwa mwaka mmoja means ufanye mtihani mwakani mwezi wa tano then Kama upo dsm tembelea michikichini huko Utakutana na waalimu na wabobezi wa hizo Kazi za private Candidate .
Ukisoma kwa kumaanisha hata miezi mitano unatoboa vizuri tu so hapo nunua review zakutosha then vitabu na solve Sana Maswali Naamini hautokosa B tatu katika paper la six
Usisikilize maneno yenye negativity kuwa hautaweza au huwezi stay away with negativity
Utamponza mwenziooo. Mungu na udaktari wapi na wapi.Mungu akutane na haja ya moyo wako mdogo wangu.
Kwa Mungu hakuna kuchelewa....kila jambo linawezekana kwake yeye aaminiye.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5
Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi Kuja Dar ku strugle