Terrible concept ni hesabu za msingi au ni hiyo 'view' yako ya kufungua duka kwa mtaji wa laki mbili na nusu?Is terrible concept ,
😁😁😁Terrible concept ni hesabu za msingi au ni hiyo 'view' yako ya kufungua duka kwa mtaji wa laki mbili na nusu?
Mzee , maisha ya mtaani hayajali kiingereza chako cha kuunga unga, yanajali uhalisia wa mfuko. Kubali matokeo, hesabu imekataa.
Endelea kukomaa na maneno magumu wakati mwalimu anataka mbinu za kutoka
Ukimaliza kucheka, nenda kamsaidie huyo mwalimu mtaji wa hilo duka lako.[emoji16][emoji16][emoji16]
😁😁😁👊Ukimaliza kucheka, nenda kamsaidie huyo mwalimu mtaji wa hilo duka lako.
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji109]
Asikudanganye mtu! Huwezi kutoboa kwa huo mshahara wa hand to mouth. Utajitahidi tu kujikimu na kupunguza utegemezi, na siyo kutoboa.Wakuu na wasilimu sana !
Bila ya kupoteza muda mimi ni mwalimu wa shule moja ya private huku kijijini ndani ndani na muhitimu wa shahada ya ualimu masomo ya arts(Sanaa).
Lengo la uzi huu kwa wanajamvi ni kuwa uliza hivi kweli kwa kipato hiki cha laki 250,000 ntaweza kutoboa kimaisha kweli? ikumbukwe mimi ni wa kiume sina kiwanja wala nyumba.
Kama ijulikanavyo fainali uzeeni naona kabisa fainali yangu sasa imefika naombeni ushauri wa kina kabisa.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
AiseeMkuu wewe unatakiwa ucharazwe na fimboyaukwaju
Hili nalo ni neno mkuu wanguduuuh labda usevu upate mtaji wa kufanya biashara ndogondogo kuuza maandazi, chapati napo kijijini labda maandazi au kama ni wanywa pombe uwauzie pombe mkuu ila mangi shop mpk usevu hata km fremu ni 30k bdo maake mahitaji ya duka utapatia wap?
Ujue na uelewe kuwa kwa mshahara peke yake, umeukaribisha umasikini wa kujitakia.Wakuu na wasilimu sana !