Kama una wazo la kubadili fani labda ujifunze fani za ujuzi.Naam nimekuelewa vizuri mkuu,japo natamani kubadilisha fani ila nawaza ni fani gani hiyo itanifaa japo najua pia biashara sio kwa ajili ya kila mtu
Huko wanalimaga pamba?ingia kwenye kilimo ila usiache kazi kwanza tumia fursa za mikopo kuwekeza kwenye kilimo ila ukikurupuka kuacha kazi kitakuramba nina experience yaliwahi nikutaNiko mkoa wa Simiyu wilaya ya meatu
Ndio la kuacha kazi naliwazia sana ,japo kuna roho inagoma ila kiukweli kama wewe uliacha kazi ukapitia changamoto na imani ulivuka iko kipindi lakiniHuko wanalimaga pamba?ingia kwenye kilimo ila usiache kazi kwanza tumia fursa za mikopo kuwekeza kwenye kilimo ila ukikurupuka kuacha kazi kitakuramba nina experience yaliwahi nikuta
Mshauri pia aoe mwanakijiji sio Hawa ******* wanywa henesy 😤Oa uanze maisha.
Maisha ni hatua.
Endesha maisha unavyoweza kwa kipato chako cha sasa na unavyomudu, hatua moja huanzisha nyingine.
Usijipe stress za utajiri.
Ni kipindi kigumu sana,ila nilichojifunza nilitakiwa kujipanga kwanza kabla sijaacha kazi ili nikiacha tu naendelea na mishemisheNdio la kuacha kazi naliwazia sana ,japo kuna roho inagoma ila kiukweli kama wewe uliacha kazi ukapitia changamoto na imani ulivuka iko kipindi lakini
KaribuNashukuru sana kwa mawazo yako mkuu
Njombe ndani ndaniHujasema uko ndani ndani ni wapi?mkoa gani?hali ya hewa ikoje?kama inaruhusu anza kujikita kidogo kidogo kwenye kilimo
Uko sahihi mkuu malengo na ndoto zangu ni kubwa mnoo ila naona kwa kibarua hiki tena huku kijijini malengo yangu haya makubwa na talanta zilizobarikiwa zitaishia kwenye bombaKila mtu anamalengo, ndoto na maono yake.
Kumaanisha Kila MTU ana kutoboa kwake.
Hivyo 250k inategemea were unamipango na malengo gani ya baadaye.
Fainali uzeeni ni msemo tuu. Usikuweke kwenye tension na pressure