Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
Aslaam,
Kuna wakati kama binadamu unatakiwa ujitafakari.
Mim binafsi nimejitafakari na kugundua nimechelewa saana katika maisha. Na Moja yakitu kilichonichelewesha ni hofu.
Asikuambie mtu hii kitu(hofu) ni ya kijinga saana, nakama hujaiugundua mapema inaweza kukumaliza mpka uzeeni.
Nimechelewa kugundua hili mpaka namaliza miaka hii(32).
Nataka niutumie mwaka wangu wa 33 kufanya Yale ambayo nimeshindwa kufanya Kwa sababu ya hofu. Kama nitaendelea kuwa na afya na uhai.
Mungu wangu nisimamie.